Kweli ilikuwa fedheha kubwa, Dokii sijui amefikaje kwake huyu nae ni mshabiki wa kweli kabisa wa yanga afrika, Sendeu amejikataa kabla hata gemu haijaisha ataenda kusema nini sasa yeye kama msemaji wa timu japo nayo kushuhudia hayo mauaji inaumiza kama mshabiki wa yanga. Hizi clip zimenifanya nijisikie kama niko uwanjani, shwangwe lilikuwa la hatari Mdau Mike
Kweli ilikuwa fedheha kubwa, Dokii sijui amefikaje kwake huyu nae ni mshabiki wa kweli kabisa wa yanga afrika, Sendeu amejikataa kabla hata gemu haijaisha ataenda kusema nini sasa yeye kama msemaji wa timu japo nayo kushuhudia hayo mauaji inaumiza kama mshabiki wa yanga.
ReplyDeleteHizi clip zimenifanya nijisikie kama niko uwanjani, shwangwe lilikuwa la hatari
Mdau
Mike