Kocha mpya wa England |
Kocha mpya wa England Roy Hodgson ataongea na John Terry na Rio Ferdinand kwa matumaini ya kuwachukua wachezaji wote wawili katika michuano ya EURO 2012.
Kazi kubwa ya kwanza kwa Hodgson ni kunitibu majeraha ya uhusiano mbovu uliopo baina ya wachezaji katika chumba cha kubadilishia nguo uliotokea baada ya Terry kutuhumiwa kumtolea maneno ya kibaguzi Antoni Ferdinand - ambaye ni mdogo wake Rio. mwezi October mwaka jana.
Terry na Ferdinand wanabakia kuwa mabeki wenye ushirikiano mzuri katika timu ya taifa na wakati akitangazwa rasmi katika uwanja wa Wembley, Roy alikaririwa akisema: "Itabidi niongee na John na Rio, natumaini tutakutana uso kwa uso, na kujua nini suluhisho.
"Kwa sasa siwezi kusema chochote mpaka nitakapogundua kiundani mahusiano yao yapoje - na nafikiri sitoongeea na wao tu, nitaongea na wachezaji wote wakubwa ndani ya kikosi."
Hodgson, ambaye amesema kwamba atamchagua Wayne Rooney katika kikosi cha wachezaji 23 - ambacho atakitangaza muda mfupi baada ya msimu kuisha - bado hajaamua kuhusu wasaidizi wake.
Lakini inaaminika atamchagua msaidizi mmoja, ingawa bado hajaongea na kocha wa England chini ya miaka 21 na kocha wa timu ya Uingereza ya Olympic Staurt Pearce kuhusu jinsi ya kuhusika kwake katika EURO 2012.

Alan Shearer |
Mtu anayetajwa sana kuweza kuchaguliwa kama msaidizi wa Roy ni Alan Shearer ambaye anatajwa kuwa na mahusiano ya karibu sana na Hodgson.
Toka nimeanza kufuatilia soka la kimataifa sijawahi kuwa na mashaka na uteuzi wa Kocha Mkuu wa timu ya taifa kama ilivyonitokea hivi sasa kwa uteuzi huu wa mzee Hodgson hasa baada ya taarifa za awali kwamba alichaguliwa baada ya kuonekana yeye ni wa bei rahisi kwa pauni 13m ukilinganisha na chaguo la awali, Redknapp.
ReplyDeleteHebu tusubiri tuone!
Nina mashaka kama hawa jamaa walifanya kazi yao sawasawa kumpa huyu mzee hii kazi nzito.Kifupi naona wamechemsha sana.
ReplyDeleteHalafu angalau wangempa mkataba wa muda mfupi kwanza wamsikilizie kwanza.
Wamechemka vibaya.
Kuwa kocha mkuu wa national team ni kazi kubwa,hasa unapozungumzia huyo mtu anatakiwa kuimanage timu ya taifa ya uingereza.Ni kazi yenye mahitaji mengi(ukiondoa mahitaji ya kiufundi).
ReplyDeletePamoja na mambo mengine ya kiufundi unahitaji sifa ya ziada,nayo ni heba/haiba.Kwa mtazamo wangu hodgson ana zero katika kigezo hiki ni afadhali hata wangempa huyo shila.