Search This Blog

Tuesday, May 8, 2012

SD TV: JE HUU NI UZALENDO ?

10 comments:

  1. Huyu jamaa atakuwa kuniua kwa kucheka jamani, yaani anazungumza kama vile alikuwa anacheza lakini alivyo na machungu na timu yake na anaongea kwa hisia za hali ya juu, yaani kila nikiwa niko bored nilikuwa naitafuta ile clip yake ya kwanza, nashukuru mkuu Shaffihkwa kuniongea clip ya pili huyu jamaa ni hatari, shabiki kama huyu anaweza kukua ukimlete utani kuhusu yanga afadhali nimemjua nikienda taifa ntakuwa nakaa mbali na yeye hasa yanga inapochezea kichapo.
    Wakati mwingine ushabiki unaweza kumfanya mtu akawa kipofu kabisa.
    Nime enjoy sana kuangalia hiyo clip.
    Mdau
    Mike

    ReplyDelete
  2. Shaffih uwe unamtafuta mara kwa mara huyu jamaa tuwe tunapata burudani! Kwa kweli anatuvunja mbavu!

    ReplyDelete
  3. Duniani kweli kuna mambo bwana mmoja kwa mapenzi aliyokuwa nayo kwa mke basi alipomuona swala macho yake akasema yamefanana na mke,love is blind jamaa hata sheria za mpira inaelekea hatambui kama mdau mike alivyosema anaweza kukutoa roho kw ajili ya yanga.Kwanini yanga asifungwe goli tano yeye nani?mechi kubwa duniani ya upinzani wa jadi ni madrid na barca na ni msimu uliopita tu madrid alifungwa 5-0 itakuwa yanga?

    ReplyDelete
  4. huu kweli cyo uungwana, jamaa noma

    ReplyDelete
  5. Jamaa kweli noma nimecheka sana. Ni shabiki wa kweli mwenye hisia kali sana na mapenzi ya dhati kwa Yanga, tatizo haelewi mpira Yanga kufungwa na Simba si news sana wahenga wanasema:- asiyekubali kushindwa si mshindani. Yanga ni nani wasifungwe bao 5?

    ReplyDelete
  6. ha ha ha yaan nabaki kucheka tuu nikimuangalia huyu jamaaa........ ananiacha hoi sana hapo anapomalizia sipati picha kama anamke siku ile ilikuwaje?

    ReplyDelete
  7. Hah hah hah haaaaa! Hivi jamani hii clipu ni kweli au ni mchezo wa kuigiza? Maskini nchi yangu, yaani elimu inazidi kuporomoka kwa kasi ya ajabu. Tulikuwa tukisema kuwa kipimo cha elimu bongo ni lugha ya kiinglishi, lakini kwa hali hii hata kujieleza kwa kiswahili bado ni mgogoro mkubwa sana! Jamaa anamiksi kichizi, sidhani kama hata yeye anaelewa kile alichokuwa akiongea pale.

    I hope huyo jamaa hakuishia Muhimbili baada ya kutoka uwanjani.

    ReplyDelete
  8. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  9. Hili ni tatizo sugu kila siku nagombana na watu nyumbani kisa kushabikia kitu usichokiua mpira,una sheria,mpira ni burudani,mpira unatuunganisha leo hii mtu anaenda uwanjani kuangalia mpira tena ana kadi ya uanachama lakini hajua kafata nini pale uwanjani,Mungu wangu hawa watu ndo wanataka mabadiliko halafu hawajui tatizo au tofauti ni nini,si hajabu mtu huyu hata mkewe hamridhishi na ni mdhaifu namba moja,ni hayo tuu..MDAU SHAFII

    ReplyDelete
  10. mi ningeomba huyu jamaa awe anahojiwa kila tanapopatikana kwani anatoa burudani tosha zaidi hata ya komedi tunazoangalia kwenye tv,yaani anatuvunja mbavu vibaya sana

    ReplyDelete