Mzigo mzima ndani ya Sports Bar ya Clouds TV
siku ya jumatatu....
Mshambuliaji raia wa Kenya, George Odhiambo maarufu kama Blackberry leo hii ameanza mazoezi na kikosi cha timu ya Azam.
Mshambuliaji huyo wa zamani wa Gor Mahia alikua mwanansoka bora chipukizi nchini kenya mnamo mwaka 2008 na mwaka 2010 alichaguliwa kuwa mwanansoka bora wa mwaka wa Kenya,
Kabla ya kujiunga na Azam kwa majaribio,Odhiambo alikua anaichezea timu ya RANDERS ya nchini Denmark ,
wakati nikizungumza nae hii leo amesema kwasasa yupo huru kujiunga na timu yoyote baada ya kukatisha mkataba na timu ya Randers.
Personal information
| |||
Full name
|
George Odhiambo Ogutu
| ||
Date of birth
|
December 31, 1992 (age 19)
| ||
Place of birth
| |||
Height
|
1.75 m (5 ft 9 in)
| ||
Playing position
|
Winger, Forward
| ||
Club information
| |||
Current club
| |||
Number
|
18
| ||
Senior career*
| |||
Years
|
Team
|
Apps†
|
(Gls)†
|
2009-2011
|
46
|
(18)
| |
2011-
|
2
|
(0)
| |
National team‡
| |||
2011-
|
16
|
(4)
| |
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of 18 May 2011.
† Appearances (Goals).
‡ National team caps and goals correct as of 4 March 2011
|
Jamaa anaonekana anajua, walau azam wasajili tena vizuri ili kuongeza ushindani katika ligi na vile mwakani wanakwea Pipa kimataifa atawaongezea nguvu.
ReplyDeleteMdau
Mike
nikama mrisho ngaza ila huyu jamaa anajua zaidi
ReplyDeleteMimi nilimuona Mechi moja Harambee ilikuwa inacheza Kwa kweli ni kijana mzuri atawafaa sana Azam. Lakini nasisitiza Azam wajitahidi kuepuka Siasa za Usimba na Uyanga itawasaidia sana. Waepuke pia kukimbilia Kuajiri viongozi wenye fikra au siasa za Usimba na Uyanga!
ReplyDelete