Search This Blog

Sunday, May 20, 2012

FAHARI YA AFRICA: DIDIER DROGBAAAAAAAAAA - APIGA GOLI NA KUIPA CHELSEA UBINGWA WA KWANZA WA ULAYA

Klabu ya Chelsea imefanikiwa kutwaa taji lake la kwanza la michuano ya klabu bingwa ya Ulaya tangu kuanzishwa kwake. Chelsea wamekuwa mabingwa baada ya kuwafunga Bayern Munich katika mchezo wa fainali kwa mikwaju ya penati 4-3. Kwa maana hiyo Chelsea ndio inakuwa klabu ya kwanza kutoka katika jiji la London kubeba kombe la UEFA Champions league.

Shujaa wa Chelsea Didier Drogba - fahari ya Afrika




Baada ya kutumia zaidi ya paundi billioni moja kwa matumizi ya kununua wachezaji pamoja na kuwalipa mishahara na matumizi mengine tangu kuinunua klabu ya Chelsea - hatimaye leo mmiliki wa The Blues Roman Abramovich ametimiza ndoto yake ya kubeba taji la ulaya.

2 comments:

  1. Hii ndiyo chelsea kaka nili tabiri toka mwanzo alipoondoka AVB na kuwa toa napoli, Di matteo amefanya makubwa xasa tuna target ubingwa wa EPL next season.

    ReplyDelete
  2. Kaka shaffih ukiwa unarudi usisahau kuvaa ule uzi uliovaa wakati unaenda Munich,

    ReplyDelete