Search This Blog

Thursday, May 3, 2012

Eti bao hili na Papiss Demba Cisse lipi kali ?

9 comments:

  1. Bonge la goli kaka ila mimi bado nasimama na goli la Cisse aaah lile goli noma yule jamaa ana jicho hatari sana la goli, angeanza msimu huu England naamini angekuwa mfungaji bora.
    Mdau
    Mike

    ReplyDelete
  2. kaka yale magoli ya cisse ni hatari 2pu...kwanza hebu angali kipagan yupo mlingotin? ni cech ambaye amezuia mashut yote ya messiah pale nuo camp............cisse ni goal geter bra nakama angekuwaamesajiliwa tangu mwanzon mwa msimu bas nadhai aangekuwa ndo anaongoza kwa ku2pia kambani

    ReplyDelete
  3. Kaka kama haya yanapatikana mengi sana ujerumani..! Au umelisahau hata la van persie season ya 2006, 2007 arsenal vs charton athletic..! Lakin la cisse nikumbushe ulikoliona mara ya mwisho....!

    ReplyDelete
  4. Ni bao zuri ila bado ni bao la kawaida sana naamini hata mastreka wetu wengi tu hapa bongo wanaweza kufunga goli kama hilo-ni kwamba jamaa amepasia mpira golini!.Hilo goli la cisse ni zuri zaidi.

    Ila kwa magoli yaliyofungwa EPL hadi sasa naamini bao la crouch dhidi ya man city kuwa ni bao zuri kuliko yote(kushinda hata bao la cisse)hasa ukizingatia mahali alipokuwa mfungaji alikuwa pembeni ya uwanja tena nje ya dimba,umbo la mfungaji(crouch ni ngongoti kifiziki ingekuwa ni ngumu kwake kugeuka kwa uharaka kama alivyofanya) lakini kikubwa zaidi crouch hakuwa kalielekea?katazama goli badala yake alipokea mpira kwa upande wa ndani wa mguu wake na kwa mshangao wa wengi pasipo kutazama golini akageuka kwa spidi ya umeme na kufyatua kombora kali la juu lililojaa moja kwa moja upande wa kulia kwenye nyavu ndogo.
    Ukiangalia goli la cisse na marco antonio wao walikuwa na nafasi ya kuona goli lipo wapi.

    ReplyDelete
  5. hili goli la Antonio nilakawaida sana kaka.....nakumbuka nishafunga mengi sana kama hayo pale shule ya msingi wailesi kipindi icho niko primary napiga tizi na akina joji masatu.........cisse lake linanikumbusa kidoogo na la E'toe akiwa Barca maeneo yale yale.....sikumbuki walikuwa wanacheza against nani.....ila kiukweli Crouch alijipinda.....nalikubali goli la crouch sana kwa mazingira ya upigaji......

    ReplyDelete
  6. Dah!!! Da kiukweli haswa hilo bonge la goal,ila tu kafunga muafrika angefuka muengereza kama Roney pasingetosha lingefagiliwa kinoma

    by Ngwali bin Mohd

    zanzibar

    ReplyDelete
  7. dah, mi naona kama goli la cisse halijatofautiana na hili kwa saana ni kama yapo sawa, pale peter cech aliupuuzia ule mpira akidhani hauna effect, na hilo goli la Malaco de marco ni la ukweli maana aliunganisha cross ambayo sio rahisi kufunga!

    ReplyDelete
  8. nadhani la cisse litachukua goli bora la miaka 20 ijayo kama lilivyofanya la rooney sasa... bonge la goliiii. hilo fresh but cisse's goal rules!

    ReplyDelete