Kwani hili ni suala la kamati ya Usuluhishi na nidhamu au ni suala la kamati ya Mashindano? Soka Bongo ni kama World CUP 1974 Mech ya Yugoslavia vs ZAIRE
Nimekua ninafuatilia ligi ya uingereza tangu enzi hizo liverpool iko kama dude lisilowezekana. enzi za kina rush, sousnes, barnes!!!! sijawahi kusikia eti timu imepata ushindi wa mezani. hii hua inatokea huku kwetu tu. kuna kitu kinanisumbua sana, hivi hakuna uwezekano wa kuwa na kanuni ambazo zitadhibiti ujinga huu.
Nafikiri pamoja na kwamba ni maamuzi ambayo hatujui yametumia kanuni gani ila ni kwa busara mechi irudiwe na hilo wazo la neutral ground naona ni sahihi kabisa ila TFF wahakikishe mechi inarekodiwa ili kuweka kumbukumbu sahihi. Ila sitoshangaa watu wakikimbilia CAS, Kuna watu wataingia kununua hiyo kesi waende zao CAS wakashtaki kwani kamati ya Tibaigana ndiyo yenye maamuzi ya mwisho tofauti na hapo ni CAS. Mdau Mike
Kurudiwa kwa mechi ni sahihi kabisa kwa sababu,kanuni za mchezo wa soka zinasema kama timu ikigomea mchezo,refarii anapaswa asubiri kwa dakika 15 na kama timu iliyogomea mchezo haijarudi uwanjani kuendelea na mchezo basi avunje pambano na timu iliyobaki uwanjani itapewa point tatu na magoli matatu na timu iliyogomea mchezo itapoteza mchezo husika.Kilichotokea siku ile ni kuwa mwamuzi alivunja pambano kabla hata dakika tano hazijafika,na mwamuzi ameshaadhibiwa kwa kosa hilo,sasa kwa nini Mtibwa ipoteze mchezo na wakati aliyevunja kanuni za mchezo ni mwamuzi?Sio sawa Mtibwa kunyang'anywa point.Je kama kwenye dakika ya 14 Mtibwa wangeamua kurudi uwanjani mchezo si ungeendelea?Ni sahihi kabisa kwa Mechi hiyo kurudiwa kwa sababu refa ndiye aliyevunja kanuniya kusubiri dakika 15 ndo avunje pambano na yeye akavunja kabla hata dakika tano hazijafika.
Tibaigana amemuumbua tena mzee said,hakika mzee wetu angeshikiria msimamo wake wa kujitoa ktk kamati ya ligi coz amekuwa akishindwa kuweka mapenzi yake kwa azzam pembeni wakati wa kutoa maamuzi
Mshindi wa kweli lazima apatikane na sio wa mezani na mipango km mwaka jana.Safi sn TFF na Tibaigana.
ReplyDeleteKwani hili ni suala la kamati ya Usuluhishi na nidhamu au ni suala la kamati ya Mashindano? Soka Bongo ni kama World CUP 1974 Mech ya Yugoslavia vs ZAIRE
ReplyDeleteNimekua ninafuatilia ligi ya uingereza tangu enzi hizo liverpool iko kama dude lisilowezekana. enzi za kina rush, sousnes, barnes!!!! sijawahi kusikia eti timu imepata ushindi wa mezani. hii hua inatokea huku kwetu tu. kuna kitu kinanisumbua sana, hivi hakuna uwezekano wa kuwa na kanuni ambazo zitadhibiti ujinga huu.
ReplyDeleteNafikiri pamoja na kwamba ni maamuzi ambayo hatujui yametumia kanuni gani ila ni kwa busara mechi irudiwe na hilo wazo la neutral ground naona ni sahihi kabisa ila TFF wahakikishe mechi inarekodiwa ili kuweka kumbukumbu sahihi.
ReplyDeleteIla sitoshangaa watu wakikimbilia CAS, Kuna watu wataingia kununua hiyo kesi waende zao CAS wakashtaki kwani kamati ya Tibaigana ndiyo yenye maamuzi ya mwisho tofauti na hapo ni CAS.
Mdau
Mike
Kurudiwa kwa mechi ni sahihi kabisa kwa sababu,kanuni za mchezo wa soka zinasema kama timu ikigomea mchezo,refarii anapaswa asubiri kwa dakika 15 na kama timu iliyogomea mchezo haijarudi uwanjani kuendelea na mchezo basi avunje pambano na timu iliyobaki uwanjani itapewa point tatu na magoli matatu na timu iliyogomea mchezo itapoteza mchezo husika.Kilichotokea siku ile ni kuwa mwamuzi alivunja pambano kabla hata dakika tano hazijafika,na mwamuzi ameshaadhibiwa kwa kosa hilo,sasa kwa nini Mtibwa ipoteze mchezo na wakati aliyevunja kanuni za mchezo ni mwamuzi?Sio sawa Mtibwa kunyang'anywa point.Je kama kwenye dakika ya 14 Mtibwa wangeamua kurudi uwanjani mchezo si ungeendelea?Ni sahihi kabisa kwa Mechi hiyo kurudiwa kwa sababu refa ndiye aliyevunja kanuniya kusubiri dakika 15 ndo avunje pambano na yeye akavunja kabla hata dakika tano hazijafika.
ReplyDeleteMdau
Abraham Jesse Mcharo
Tibaigana amemuumbua tena mzee said,hakika mzee wetu angeshikiria msimamo wake wa kujitoa ktk kamati ya ligi coz amekuwa akishindwa kuweka mapenzi yake kwa azzam pembeni wakati wa kutoa maamuzi
ReplyDelete