Waliamini kwamba timu yao imefanya kitu kilichoonekana hakiwezekani kwa kuchukua ubingwa wa Barclays Premier League mbele ya majirani zao wenye kelele.
Na haikuwa tu mashabiki bali pia hata helikopta iliyobeba kombe halisi ilikuwa imeanza safari kuelekea Stadium of Light. Hata mabango yaliyokuwa yametengenezwa na United kusherehekea ubingwa yalianza kusogezwa uwanjani.
Lakini maili 140 katika jiji la Manchester, saa ikisoma saa 4.52pm, Edin Dzeko akasawazisha na kufanya ubao wa matokeo kusoma 2-2.
Kule Sunderland, mashabiki walikuwa wamebana pumzi zao mpaka kipenga kilipopulizwa, lakini dakika 3 tu baadae, Sergio Aguero akaingia na mpira ndani ya box na kufunga goli na kukamilisha the best comeback.
Wachezaji wa United, ambayo walibaki uwanjani wakisubiri hukumu yao, waliambiwa juu ya kilichotokea Etihad, na kwa haraka sura zao zikawa na majonzi.
Mixed emotions: Manchester United fans celebrate (above) but then comes the news from the Etihad (below)
Mixed emotions: Manchester United fans celebrate (above) but then comes the news from the Etihad (below)
Na baadae washabiki wa United wakaibuka na bango linaloonyesha 19-3, kwa maana ya kuwadhiaki majirani zao ambao ndio kwanza wamebeba ubingwa wa 3 wakati wao wakiwa tayari na ubingwa wa 19.
Stunned: Manchester United players react to the news that they have lost the Premier League title
Hapa kuna upotoshwaji shafii, naomba source ya herikopta kubadili njia mala 2 manake ninavyoelewa ni kwamba kulikuwa na makombe ma 2 na moja huwa ni fake kwa maana ya kwamba linatumika wakati kukiwa na uwezekano wa kuwa na maamuzi toka viwanja vi 2 na baadaye mshindi akipatikana basi hupewa kombe halisi kati ya hayo baadaye sasa siku ya juzi kombe 1 lilikuwa Etihad na 1 OT na kwa taarifa ambazo nilisoma kwenye soccernet ni kwamba wakati bado dakika 3 mpira kuisha tayari kombe lililokuwa OT lilianza kurembwa na na ribon za rangi ya United, so give me the source.
ReplyDeletenduo
ReplyDeletei think huu ulikuwa msimu wa man city hivyo hakuna budi kuwapongeza.
ReplyDelete