Mistakes happens sometimes. Last Saturday the same incidence happened to Chelsea, but nobody seemed to care, but because it's Manchester then this will last longer. No one is perfects guyz.. That's it.
Mimi kama shabiki wa Man U,Kwa maoni yangu kwanza kabisa nimlaumu Mshika kibendera kwani alikuwa karibu kabisa kuweza kumuona Ashley Young akiwa kwenye offside position lakini pia maamuzi ya refaree yalikuwa makali sana pamoja na kwamba alikuwa mtu wa mwisho lakini kadi nyekundu sidhani kama ilikuwa sahihi sana hasa ukiangalia tukio lenyewe.Lakini makosa kwenye footbal ni kawaida ila hata mimi sikupendezwa kwani hawa jamaa tulikuwa tunawamudu kabisa bila hata hiyo penati na red card ila anyway Heshima kwenu Arsenal kwa kutusaidia kumshika shingo mancity ili zoezi zima la uchinjaji liwe rahisi hakika tunawaombea mema na nyie, nyie ndio watu wetu bwana tunasaidiana kwenye shida na raha. Mdau Mike
MIMI NI MAN U DAMU LKN HII SIKUIPENDA REFA NA MSAIDIZI WAKE WATAKIWA WAPATIWE ADHABU KALI KWANI NI ZAHIRI REFA AMEONA NA MSAIDIZI WAKE AMEONA WAKO JAMES
ndugu zangu kwanini mistake ya laizman huwa inakuwa mwiba pale anapojisahau katika timu ya MAN U pekee, mchezo ulio pita kati ya Chelsea na Wigan tumeona kabisa bao la offside likifungwa na hakuna yeyote aliye ongelea goli hilo leo iweje pernat aliyo pewa ashley young iwe mwiba ulio wachoma moyoni.. jueni hata hao waamuzi ni binadamu tu kama ninyi nao wana mapenzi yao na mapungufu katika kuona mambo kumbukeni wewe unaona marudio ya tukio lakini kwa laizmen au refa yeye yampasa kuona kwa makini zaidi ili kutoa maamuzi yaliyo sawa wakati mwingine huwa ni vigumu kwa vile eneo alilokaa linaweza kumshawishi kuona ni kosa wakati si kosa...
FA+Howard Webb& Company=Sir AF na EPL champion!waulize Fulham ikiwa tukio kama hili linaweza kuzaa strait redcard na penalti!haiingii akilini ikiwa second official hakuona clear and obvious offside kama hiyo!ila mwisho wa siku wataendelea kuadhibiwa na average timu kama fc Basel ktk UEFA na Athletic Bilbao EUROPA hapo ndo mwisho wao..huko hakuna mbeleko za akina webb..
Kaka lile ni kosa hata Fergie mwenyewe amesikitishwa na maamuzi hayo, ila siungani mkono na wewe kwamba wataendelea kuadhibiwa na average clubs kwani kufungwa na Basel,Bilbao na hata Ajax ni sehemu ya mpira mbona wakati Man u wanafika fainali 3 kama si 2 mfululiyo za UEFA mbona hamkusema, ukijaribu kuiangalia man u ya msimu huu ni kweli ilikuwa dhaifu sana na hilo liko wazi kabisa.Tukubali ni makosa lakini si kweli kwamba mara zote man u wanabebwa na hayo makosa si kwa mau upekee yako kwa kila timu ila kwa kuwa yametokea kwa Man u basi ni kosa la jinai.Ilipotokea kwa chelsea ilionekana ni kawaida wala hapakuwa na kelele. Mwisho lile lilikuwa kosa. Mike
mike,tatizo cyo sir alex kusikitishwa na maamuzi km hayo, tatizo lenyewe ni kuua morali ya game na ndio ilikuwa turning point ya QPR kufungwa! na kwanini makosa ya kibinadamu yawe in favour ya man united kuliko timu nyingine? hii inatoa tafsiri kubwa sana na pengine twende mbele zaidi tuchunguze why refa kama Howard Webb ndie kachezesha controversial game nyingi za united kuliko refa mwingine? je yupo kwa ajili ya game za united tu?
Ni kweli refa naye bnadam, ni kwel chelsea naye juzi alipata shavu la refa, TATIZO KWANINI KILA SIKU OT tn upande wa MAN U??? Kiukweli man u mbeleko ya marefa imewasaidia sn kuufikia ubingwa msimu huu, ss nakubaliana na alichosema P. VIEIRA, UBINGWA KWA MAN U BILA MAREFA HAUWEZEKANI.
Hivi jamani hili goli la kwanza la Man United dhidi ya QPR, kweli hata kipofu anashindwa kuona kuwa Young 'the diver' alikuwa offside!!!!?? kuna kitu ambacho me huwa nashindwa kuelewa...why Man United ndo hufaidika mara kwa mara na maamuzi mabovu yanayofanywa na waamuzi? juzijuzi tu walipocheza na Fulham, Fulhamu walinyimwa penalty ambayo hata mtu asiyejua sheria za mpira angetoa penalty.....me nadhani kuna mchezo mchafu unaoendelea na si makosa ya kibinadamu kama wengi wanavyodai... me nadhani YOUNG yuko fiti kushiriki michuano ya OLYMPIC ili aisaidie ENGLAND keleta medali za waogeleaji.
Timu za Juventus ya Italia na Olympic Marseille ya Ufaransa ziliwahi kufungiwa na kushushwa daraja kwa kupanga matokeo.Kwa Uingereza naamini its a matter of time kabla hatujasikia kitu kama hicho kinatokea.Hii ni clear match fixing!
NILIANGALIA MECHI HII.NILIKERWA SANA NA MAAMUZI YA REFA KUMLIMA KADI NYEKUNDU NAHODHA WA QPR.HAIKUHITAJI MIWANI UWEZE KUONA KM YOUNG HAUCHEZEWA FAULO BALI ALIJIRUSHA "DIVE".NA KAMA HAITOSHI AKAWAPA MAN UTD PENATI WAKATI TAYARI YOUNG ALIKUWA OFFSIDE.HILI TUKIO LILIHARIBU MIPANGO YOTE YA QPR KWA SABABU WALIKUWA PUNGUFU UWANJANI NA NAAMINI ILICHANGIA SANA USHINDI WA MAN. SIJUI MAREFA KM HAWA WANACHUKULIWA HATUA GANI HUKO UK?
Shaffih issue iko kwa haya matatizo yanatokea kwa timu fulani tu hasa Man utd kwa EPL,Barca kwa La liga,au mchezaji fulani,kwa uzoefu wangu mdogo nilihoji kupitia Ashley young's post in this blog ndie anaeongoza kupewa penalt EPL. Refa bora mpaka sasa ni mzee Collina ambae kama sikosei ndie kiongozi wa marefa UEFA kama sio FIFA. Yeye alikuwa na utaratibu akipangiwa mechi fulani anawatch video za hizo timu is pungufu ya mbili each inamsaidia kumjua kila mchezaji ana ujanja gani wa kumdanganya refa,hawa wa sasa wanafanya hivyo!!!?au wanakimbizwa na wacheza kamari kama sio mapenzi binafsi....!!!,need ur analysis
Hivyo ni vitu vya kawaida kumbuka refa ni binadamu kama ww na hilo lilitokea hata kwa chelsea vs wigan
ReplyDeleteKosa Halihalalishi Kosa.Ndio maana wakija Ulaya wanatolewa kirahisi.Ulaya Hakuna Kubebana.
DeleteMakosa kama hayo yanatokea mengi tu kwenye ligi za Ulaya, hata juzi Chelsea walipewa penalt ya utata
DeletePicha Ungeitengeneza kama ile penalty ya Barca tungechambua vizuri coz imewanyima fursa ambao hawakuiangalia hiyo game.
ReplyDeleteInajulikana kuwa man u ni timu ya chama cha soka cha uingereza(f.a)
ReplyDeleteMistakes happens sometimes. Last Saturday the same incidence happened to Chelsea, but nobody seemed to care, but because it's Manchester then this will last longer. No one is perfects guyz..
ReplyDeleteThat's it.
Mimi kama shabiki wa Man U,Kwa maoni yangu kwanza kabisa nimlaumu Mshika kibendera kwani alikuwa karibu kabisa kuweza kumuona Ashley Young akiwa kwenye offside position lakini pia maamuzi ya refaree yalikuwa makali sana pamoja na kwamba alikuwa mtu wa mwisho lakini kadi nyekundu sidhani kama ilikuwa sahihi sana hasa ukiangalia tukio lenyewe.Lakini makosa kwenye footbal ni kawaida ila hata mimi sikupendezwa kwani hawa jamaa tulikuwa tunawamudu kabisa bila hata hiyo penati na red card ila anyway Heshima kwenu Arsenal kwa kutusaidia kumshika shingo mancity ili zoezi zima la uchinjaji liwe rahisi hakika tunawaombea mema na nyie, nyie ndio watu wetu bwana tunasaidiana kwenye shida na raha.
ReplyDeleteMdau
Mike
MIMI NI MAN U DAMU LKN HII SIKUIPENDA REFA NA MSAIDIZI WAKE WATAKIWA WAPATIWE ADHABU KALI KWANI NI ZAHIRI REFA AMEONA NA MSAIDIZI WAKE AMEONA
ReplyDeleteWAKO
JAMES
ndugu zangu kwanini mistake ya laizman huwa inakuwa mwiba pale anapojisahau katika timu ya MAN U pekee, mchezo ulio pita kati ya Chelsea na Wigan tumeona kabisa bao la offside likifungwa na hakuna yeyote aliye ongelea goli hilo leo iweje pernat aliyo pewa ashley young iwe mwiba ulio wachoma moyoni.. jueni hata hao waamuzi ni binadamu tu kama ninyi nao wana mapenzi yao na mapungufu katika kuona mambo kumbukeni wewe unaona marudio ya tukio lakini kwa laizmen au refa yeye yampasa kuona kwa makini zaidi ili kutoa maamuzi yaliyo sawa wakati mwingine huwa ni vigumu kwa vile eneo alilokaa linaweza kumshawishi kuona ni kosa wakati si kosa...
ReplyDeleteFA+Howard Webb& Company=Sir AF na EPL champion!waulize Fulham ikiwa tukio kama hili linaweza kuzaa strait redcard na penalti!haiingii akilini ikiwa second official hakuona clear and obvious offside kama hiyo!ila mwisho wa siku wataendelea kuadhibiwa na average timu kama fc Basel ktk UEFA na Athletic Bilbao EUROPA hapo ndo mwisho wao..huko hakuna mbeleko za akina webb..
ReplyDeleteKaka lile ni kosa hata Fergie mwenyewe amesikitishwa na maamuzi hayo, ila siungani mkono na wewe kwamba wataendelea kuadhibiwa na average clubs kwani kufungwa na Basel,Bilbao na hata Ajax ni sehemu ya mpira mbona wakati Man u wanafika fainali 3 kama si 2 mfululiyo za UEFA mbona hamkusema, ukijaribu kuiangalia man u ya msimu huu ni kweli ilikuwa dhaifu sana na hilo liko wazi kabisa.Tukubali ni makosa lakini si kweli kwamba mara zote man u wanabebwa na hayo makosa si kwa mau upekee yako kwa kila timu ila kwa kuwa yametokea kwa Man u basi ni kosa la jinai.Ilipotokea kwa chelsea ilionekana ni kawaida wala hapakuwa na kelele.
DeleteMwisho lile lilikuwa kosa.
Mike
mike,tatizo cyo sir alex kusikitishwa na maamuzi km hayo, tatizo lenyewe ni kuua morali ya game na ndio ilikuwa turning point ya QPR kufungwa! na kwanini makosa ya kibinadamu yawe in favour ya man united kuliko timu nyingine? hii inatoa tafsiri kubwa sana na pengine twende mbele zaidi tuchunguze why refa kama Howard Webb ndie kachezesha controversial game nyingi za united kuliko refa mwingine? je yupo kwa ajili ya game za united tu?
DeleteWaamuzi wanaboa
ReplyDeleteHyo mbna iko waz ni off side. Kawaida man u wanabebwa sana tu hakna mbsh.
ReplyDeleteMan u the FA SHAREHOLDERS With 2 much fitna in EPL dc season,ndo maana hawaendelei kwenye other Europe championshp races
ReplyDeleteNi kweli refa naye bnadam, ni kwel chelsea naye juzi alipata shavu la refa, TATIZO KWANINI KILA SIKU OT tn upande wa MAN U??? Kiukweli man u mbeleko ya marefa imewasaidia sn kuufikia ubingwa msimu huu, ss nakubaliana na alichosema P. VIEIRA, UBINGWA KWA MAN U BILA MAREFA HAUWEZEKANI.
DeleteHivi jamani hili goli la kwanza la Man United dhidi ya QPR, kweli hata kipofu anashindwa kuona kuwa Young 'the diver' alikuwa offside!!!!?? kuna kitu ambacho me huwa nashindwa kuelewa...why Man United ndo hufaidika mara kwa mara na maamuzi mabovu yanayofanywa na waamuzi? juzijuzi tu walipocheza na Fulham, Fulhamu walinyimwa penalty ambayo hata mtu asiyejua sheria za mpira angetoa penalty.....me nadhani kuna mchezo mchafu unaoendelea na si makosa ya kibinadamu kama wengi wanavyodai...
ReplyDeleteme nadhani YOUNG yuko fiti kushiriki michuano ya OLYMPIC ili aisaidie ENGLAND keleta medali za waogeleaji.
SAYI GUGAH
Bariadi-Simiyu
HII NDO GHARAMA YA USTAARABU.KIBONGOBONGO HUYO REFA ANGEPATA KICHAPO NA KAVP MECHI NDO INAISHIA HAPOHAPO.
ReplyDeleteni makosa tu ya mwamuzi sababu ni binadam , kiukweli ilikua offside.
ReplyDeletemwamuzi wa kati halaumiki kwani nikawaida wachezaji kudanganya mwamuzi asione ila bila shaka kwa position aliokuwepo mwamuzi wa pembeni alitubeba tu.
ReplyDeleteTimu za Juventus ya Italia na Olympic Marseille ya Ufaransa ziliwahi kufungiwa na kushushwa daraja kwa kupanga matokeo.Kwa Uingereza naamini its a matter of time kabla hatujasikia kitu kama hicho kinatokea.Hii ni clear match fixing!
ReplyDeleteNILIANGALIA MECHI HII.NILIKERWA SANA NA MAAMUZI YA REFA KUMLIMA KADI NYEKUNDU NAHODHA WA QPR.HAIKUHITAJI MIWANI UWEZE KUONA KM YOUNG HAUCHEZEWA FAULO BALI ALIJIRUSHA "DIVE".NA KAMA HAITOSHI AKAWAPA MAN UTD PENATI WAKATI TAYARI YOUNG ALIKUWA OFFSIDE.HILI TUKIO LILIHARIBU MIPANGO YOTE YA QPR KWA SABABU WALIKUWA PUNGUFU UWANJANI NA NAAMINI ILICHANGIA SANA USHINDI WA MAN.
ReplyDeleteSIJUI MAREFA KM HAWA WANACHUKULIWA HATUA GANI HUKO UK?
HUYO REFA INGEKUWA BONGO ANGEKULA MAKOFI YA KUTOSHA.KAFANYA MAAMUZI MAWILI MAKUBWA KIMAKOSA.
ReplyDeleteShaffih issue iko kwa haya matatizo yanatokea kwa timu fulani tu hasa Man utd kwa EPL,Barca kwa La liga,au mchezaji fulani,kwa uzoefu wangu mdogo nilihoji kupitia Ashley young's post in this blog ndie anaeongoza kupewa penalt EPL.
ReplyDeleteRefa bora mpaka sasa ni mzee Collina ambae kama sikosei ndie kiongozi wa marefa UEFA kama sio FIFA. Yeye alikuwa na utaratibu akipangiwa mechi fulani anawatch video za hizo timu is pungufu ya mbili each inamsaidia kumjua kila mchezaji ana ujanja gani wa kumdanganya refa,hawa wa sasa wanafanya hivyo!!!?au wanakimbizwa na wacheza kamari kama sio mapenzi binafsi....!!!,need ur analysis