Search This Blog

Monday, April 2, 2012

VIJANA WA MSIMBAZI NDANI YA SUTI AMBAZO KIUKWELI HAWAJAZITENDEA HAKI!

 JEMBE LA SPORTS BAR YA CLOUDS TV EZRA KAAYA LIKIWA BIZE ILE MBAYA!
        Baron hotel,hote​l walipofiki​a simba jijini cairo
     Baron palace jengo la kwanza kujengwa jijini cairo
    KUTOKA KUSHOTO, AMIR MAFTAH,JUMA KASEJE, KOCHA MILOVAN CIRKOVIC,KOCHA WA MAKIPA JAMES KISAKA NA MKUU WA MSAFARA DAN MANEMBE.
    DAAAH KIKWELI MMEPENDEZA LAKINI BAADHI YENU HAMJAZITENDEA HAKI SUTI ZENU...AU ?


5 comments:

  1. majembe tunawatakia mchezo mzuri na nina uwakika watatoka salama

    ReplyDelete
  2. Shaffih naungana mkono na wewe kabisa, kuna baadhi hawajazitendea haki suti zao ila kwa maono yangu binafsi nafikiri tatizo ni mazoea tu hapo kuna baadhi yao hawajazoea kuvaa suti kwa hiyo kwao hiyo ni kama adhabu.
    Ila nawatakia kila la kheri Wanamsimbazi na kama alivyosema Mbwiga, Simba wajue fitina zipo kila mahali wakicheza kwa kumuangalia refaree wataumiawajipange wao si wageni na mambo ya waarabu.Kila la kheri Simba.
    Mdau
    Mike.

    ReplyDelete
  3. Wabongo wacheni udaku mbona suits zimewatoa fresh,wote wamezitendea haki na jua mnamind mshikaji aliyegonga cha raba mbona ka-swag freSh tu.....mi najua wabongo tulivyo wanako akipilia hivyo BEckham or C.Ronaldo ni poa ila kwasbb ni Uhuru mna-mind...wacheni michongo siyo hiyo.

    ReplyDelete
  4. Acheni zenu mbona suti vazi la kawaida sana,suti ni vazi special inategemea umelivaa kwny situation gani lkn kwa case ya wachezaji wa mpira suti kuvaliwa ktk style yyt vile ndo maana wngn huvaa coat na jeans,alafu kumbukeni Simba kuvaa hivyo siyo km wanakwnd kwny party...hao wamevaa hivyo kwa ajili ya safari ya ki-soccer.....tunatakiwa tu-discus soccer na siyo jinsi walivyojigongelea vyuti....tunatakiwa kuwapa support kupitia blogs kwa kuwaandika vizuri na kuwapa mbinu za kisoccer ili wammalize mwarabu kwao,tuwajenge ktk mitazamo ya ushindi dhidi ya mechi iliyopo mbele yao,tunatakiwa tujuwe siku hizi wachezaji wame elimika kwa hiyo wangi wao huwa wanafuatilia mambo mengi kwny mitandao,ss hatuoni km wakifungua blogs zetu wakakuta watu wanauwa kuhusu suti zao tuta waadhili kiakili,Jamani eeeeh tubadilikeni Watanzania tuwache majungu yasiyojenga,kumbukeni hawa wankwnd kuwakilisha taifa ktk soccer la vilabu......Pls tusiwe kama ss nchi nzima ni Yanga...........ni hayo tu.

    ReplyDelete
  5. Michael jodan. Nae huvaa. Suit na raba na kapelo. Wako. James

    ReplyDelete