ES Setif wakiwapisha Simba nao wafanye mazoezi asubuhi ya leo hapa Algeria. |
Baada ya kusubiri kwa muda mrefu hatimaye Simba nao walipata nafasi ya kufanya mazoezi huku mvua ikiwa inanyesha. Hali ya hapa ni baridi sana huku mvua zikiwa zinanyesha mara kwa mara. |
Emmanuel Okwi na Juma Kaseja wakipiga stori wakati wakiwasubiri Setif wamalize mazoezi. |
Wachezaji wa Simba wakiwa jukwaani wakiwasubiri ES Setif wamalize mazoezi yao ili nao waweze kupasha asubuhi. |
Du kumbe na wewe ni Simba...bye bye blog hii, nilidhani ulikuwa huru, mimi Simba na Yanga hapana...hazina kitu, naona umeshupalia Simba ile mbaya...haya bwana ngoja nirudi kwa bontostaz jamaa yupo fair sana.
ReplyDeleteMdau
Maryland
cjaona tatizo lolote la kukera ndan ya hii blog so tanzania ni nchi huru na huu ndo uhuru wenyewe shafii nimependa blog yako japo nimara chache kutembelea kumbuka kaka shafi mti wenye matunda ndio hulengwa mawe!
ReplyDeleteDuh.huko mahali c masiara ata baridi la Njombe,Arusha hapo..Ila bado tunaimani kubwa na chama letu.Simba Sports.naamini tutawang'oa Warabu..Mungu ibariki SIMBA SPORTS CLUB.
ReplyDeleteShafii 2pe habar zozote unazozipata achana na wanaodis brother
ReplyDeletehao wanao kulaumu shafi wao wanataka uwaandike habarizao au vipi!? huu ni wakati wakutupa habari za nje ya nchi hasa algeria
ReplyDeleteShaffii football ndio mchezo unaopendwa sana Tanzania na leo timu mojawapo na kubwa inacheza, sasa kwanini habari kutoka Algeria zisitawale? Huenda ni kutokana na kuwa hii ni first time tunapata live coverage ya soka toka abroad so watu wanahusisha na ushabiki. Big up shafii, achana na huyo mdau wa Maryland, tatizo wa watz wakiwa nje wanadharau vya kwao. Tumwache ashangilie basketball US atuachie Simba na Yanga zetu.
ReplyDelete