Kocha mkuu wa Simba Milovan Cirkovic akipata chai baada ya mazoezi leo asubuhi. |
Mwinyi Kazimoto akiwa mchezaji mwenzie wakipata kifungua kinywa baada ya kutoka mazoezini. |
Mario Balotelli aka Haruna Moshi Boban akitoka kuchukua breakfast yake asubuhi ya leo. |
Misosi ya wachezaji a Simba |
Kelvin Yondan akiwaongoza wenzake kuchukua chakula baada ya kutoka mazoezini. |
Msosi huu ni huo wa hotelini wanaoukimbia au ndio uliotengenezwa na watanzania? Maana meza imepangwa kihoteli!
ReplyDeleteSiku zote pamoja na utandawazi kuwepo, na pamoja na blogs kibao kuwepo, lakini hatimaye leo tuna blog inayoweza kutupa live coverage ya events za huko Algeria.
BIG UP SHAFII. UKO JUU