Meneja Mawasiliano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Andrew
Kuyeyana (kulia) akimkabidhi baadhi ya vifaa vya mchezo wa Masumbwi
kwa Katibu wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Nchini (BFT) Makore
Mashaga Dar es salaam Leo, Kwa ajili ya mabondia wanaojiandaa kufuzu
mashindano ya Olimpic katikati ni Katibu Mkuu wa Balaza la Michezo
Tanzania (BMT), Henry Lihaya.(Picha na
http://www.superdboxingcoach.blogspot.com/)
No comments:
Post a Comment