Pele kwa muda mrefu amekuwa kiudanganya umma wa soka na mambo yake yaliyo na ukweli nusu kuhusu mafanikio yake.
Ni huyu huyu jamaa aliyesema Nicky Butt ndiye aliyekuwa mchezaji bora wa michuano ya kombe la dunia mwaka 2002. Hivyo usiyachukulie maneno yake kama Injili, tena wakati anapoongea kuhusu maisha yake - kitu ambacho anapenda sana.
Makala hii ni mahususi kuweza kuondoa ukungu kuhusu Pele na haya ni mambo matano ambayo hapendi watu wajue.
1: PELE HAKUFUNGA MABAO 1,283 KATIKA MECHI RASMI
Ni huyu huyu jamaa aliyesema Nicky Butt ndiye aliyekuwa mchezaji bora wa michuano ya kombe la dunia mwaka 2002. Hivyo usiyachukulie maneno yake kama Injili, tena wakati anapoongea kuhusu maisha yake - kitu ambacho anapenda sana.
Makala hii ni mahususi kuweza kuondoa ukungu kuhusu Pele na haya ni mambo matano ambayo hapendi watu wajue.
1: PELE HAKUFUNGA MABAO 1,283 KATIKA MECHI RASMI
Pele alifunga magoli 1,283, lakini 526 kati ya hayo alifunga katika mechi ambazo hazikuwa rasmi zikiwemo za kirafiki na ziara.
Amehesabu mpaka mechi alizochezea Sixth Coast Guard katika michuano ya majeshi.
Katika mechi rasmi zinazotambuliwa na vyama vya soka Pele amefunga magoli 757 katika mechi 812.
Amehesabu mpaka mechi alizochezea Sixth Coast Guard katika michuano ya majeshi.
Katika mechi rasmi zinazotambuliwa na vyama vya soka Pele amefunga magoli 757 katika mechi 812.
Scoreline | Pelé's goals |
Santos 11-0 Botafogo Ribeirão Preto | 8 |
Santos 11-1 Maringá | 5 |
Santos 10-3 Nitro-Química | 5 |
Santos 10-0 Nacional | 5 |
Santos 10-1 Royal Neerschot | 5 |
Santos 10-2 Guarani | 5 |
Santos 10-1 Juventus | 5 |
Ukiangalia hizi takwimu za magoli ambayo Pele aliyafunga kwa wingi katika mechi moja moja unaweza ukaona kitu kingine kilimchosadia kuweza kufunga magoli hayo.
Magoli nane aliyayofunga Pele dhidi ya Botafogo, hayakuwa dhidi ya Batafogo ya unayoijua wewe, bali ilikuwa ni timu nyingine inayotumia jina kama hilo ambayo mafanikio yake pekee timu hiyo ilikuwa ni kumtengeneza marehemu Socrates.
Pia haikuwa Nacional ya Uruguay bali ni timu moja ndogo iliyopo mjni Sao Paulo. Pia hakufunga idadi hiyo inayoonekana hapo juu dhidi ya Juventus ya ukweli bali katimu kamoja kalichopo huko kwao Brazil.
Yaani ilikuwa kama sasa ilivyo sio jambo la ajabu ikiwa Chelsea wakiifunga timu kama Brentford na Leyton Orient katika league ya london - Hata Fernando Torres angefunga magoli 10 au 5 kama Pele.
Katika mechi za kimataifa zilizo rasmi Pele hakuwahi kufunga magoli manne au zaidi na ushahidi ni magoli yake 77 katika mechi 92 then linganisha na migoli yote 1,283.
2: UKWELI KUHUSU MAFANIKIO YAKE KUHUSU FIFA WORLD CUP.
Pele anahitaji kuangalia kwa makini kuhusu mafanikio yake katika FIFA World Cup.
Kwa ufupi ebu tuangalie kidogo takwimu hizi kuhusu wachezaji wenye mafanikio katika kombe la dunia.
Most World Cup All-Star appearances | Djalma Santos and Franz Beckenbauer, 3 |
Most World Cup goals | Ronaldo, 15 |
Most World Cup goals in one final | Geoff Hurst, 3 |
Most World Cup goals in one tournament | Just Fontaine, 13 |
Most World Cup goals in one game | Oleg Salenko, 5 |
Most World Cup games | Lothar Matthäus, 25 |
Most World Cup games won | Cafu, 16 |
Most World Cup tournaments | Antonio Carbajal and Lothar Matthäus, 5 |
Yupo wapi Pele hapa?
3: PELE ALIFUNIKWA KWA UFUNGAJI KATIKA MICHUANO YOTE YA KOMBE LA DUNIA
Pele amecheza katika mara nne katika michuano minne ya kombe la dunia, lakini alikuwa akifunikwa katika michuano yote hiyo.
Kwa mtu ambaye huwa anajisifu kila mara kuhusu uwezo wake mkubwa wa kufunga, nashindwa kuelewa kwanini hakuwahi hata kushinda kiatu cha dhahabu cha FIFA.
Kwa mtu ambaye huwa anajisifu kila mara kuhusu uwezo wake mkubwa wa kufunga, nashindwa kuelewa kwanini hakuwahi hata kushinda kiatu cha dhahabu cha FIFA.
Year | Golden Boot Winner, goals | Pelé's goals |
1958 | Just Fontaine, 13 | 6 |
1962 | Six players tied, 4 | 1 |
1966 | Eusébio, 9 | 1 |
1970 | Gerd Müller, 10 | 4 |
Kwa kuwa na usawa, Pele alikuwa kaumia wakati wa kombe la dunia 1962 na 1966. Alipokuwa fiti katika michuano ya mwaka 1958 na 1970, hakuwa mfungaji bora.
In fact, hakuwa hata mfungaji bora kwa timu yake ya Brazil wakati wa World Cup 1970, alizidiwa na Jairzinho aliyekuwa na magoli 7.
In fact, hakuwa hata mfungaji bora kwa timu yake ya Brazil wakati wa World Cup 1970, alizidiwa na Jairzinho aliyekuwa na magoli 7.
4: PELE ALISHINDA MAKOMBE MAWILI YA DUNIA - SIO MATATU
Garrincha. |
Hapa Pele akitoa masharti ya Messi kuweza kuwekwa daraja na moja yeye.
"Watu kila siku wananiuliza: "Lini Pele mpya atazaliwa?" Haitotokea. Mama yangu na baba yangu wamefunga kiwanda cha kuzalisha. Kipindi Messi atakapofunga magoli 1,283 kama mimi, atakaposhinda makombe 3 ya Dunia - then tutaongea tena."
Kiuhalisia Messi anahitaji kufunga magoli 758 badala ya 1,283 na anahitaji kushinda makombe mawili tu ya kombe la dunia badala ya matatu.
Pele alikuwa mmoja ya wachezaji wa Brazili walioshinda mara tatu kombe la dunia lakini alikaa nje kwa muda mrefu katika kombe la dunia la mwaka 1962.
Alikuwa ni Garrincha laiyefanya balaa na jeshi lake la mtu mmoja na kuiwezesha Brazil kushinda kombe la dunia mwaka 1962, na sio Pele.
all in all, PELE ni noma than Mesi, by the way, Messi hatachukua kombe la dunia
ReplyDeletekama alikuwa kwenye kikosi na kama alicheza hata mechi moja basi alishinda kombe,hii mada naona ipo kutaka kuonyesha kwamba pele si chochote lakini ukweli unabaki palpale,iweje aiteke dunia miaka hiyo kama hakuwa waukweli,sio lazima uwe mfungaji bora kwenye kila kitu ili uonekane unaweza,tatizo wengi mna u-mesi vichwani mwenu na hii imewaathiri
ReplyDelete"No one can change the history".. Kiukweli duniani kuna pele mmoja tu, na hatatokea pele mwingine, kama ilivyo kwa Muhammad Ali katika Boxer, Michael Jordan katika Basket Ball, Usain Bolt katika riadha, Michael Schumacher katika mbio za langalanga, Tiger Woods katika Golf na Nelson Mandela katika Marais.. Ha ha ha...
ReplyDeleteKwanza hii makala haijaonyesha vyanzo vya habari so hatuwezi kuichukulia kwa umakini
ReplyDeleteshafffih,fitns za soka la bongo ndo mmehamishia mbele?kwa maana hiyo Pele mwenyewe ndiye aliepeleka takwimu zake fifa?untaka kusema Fifa hawana documentation nzuri?na information zao sio reliable na valid kiasi kwamba zinaweza kua na upungufu na makosa makubwa kama haya?Haya maneno yametoke wapi au do kwenye kahawa?haya bwana kazi njema bt hizi ni fitna tu
ReplyDeletechela wa dom
Brother! wakati Mwingine uwe unaonyesha Source ya Taarifa zako, wewe mdogo kiumri mpaka kwenye fani ya uandishi wa habari(blogs)Sio vibaya ku acknowledge chanzo/vyanzo vya habari zako kutafsiri kutoka kiingereza kuja kiswahili haitoshi kuonyesha wewe ni mwenye habari. Samahani kama nimekukwaza. Atcheys
ReplyDeleteJinsi ulivyoandika kaka unaonyesha wazi kuwa una fitina na pele.Hivi wewe na hao magwiji wasoka duniani nani anamjua zaidi pele? Achana na ushabiki wa messi,ni hodari lakini usipotoshe ukweli!
ReplyDelete