Mashabiki wa Yanga wao walikuwa wakiipa sapoti Es Satif ya Algeria
Mtanange ulikuwa wa kufa na kupona
Mchezaji wa timu ya Simba ya Dar es Salaam, Machaku akijaribu kumpita mshambuliaji wa ES Setif ya Algeria wakati wa mchezo wa kombe la Shirikisho uliochezwa leo kwenye uwanja wa Taifa. Katika mchezo huo Simba imeibuka na ushindi wa mabao 2-0.
Beki wa timu ya Simba ya Dar es Salaam, Amir Maftah, akijaribu kumpita mshambuliaji wa ES Setif ya Algeria wakati wa mchezo wa kombe la Shirikisho uliochezwa leo kwenye uwanja wa Taifa.
Mchezaji wa timu ya Simba, Emmanuel Okwi, akiruka juu katikati ya mabeki wa timu ya ES Setif wakati timu hizo zilipopambana katika kombe la Shirikisho kwenye uwanja wa Taifa.
Mchezaji wa timu ya Simba, Emmanuel Okwi, akifuta mpira kwa mlinda mlango wa timu ya ES Setif wakati timu hizo zilipopambana katika kombe la Shirikisho kwenye uwanja wa Taifa.
Mlinda mlango wa timu ya ES Setif ya Algeria akijaribu kudaka mpira uliopigwa na Mchezaji wa timu ya Simba, Emmanuel Okwi.
...Kukimbizana mwanzo mwisho
...Clouds Tv nayo ilikuwa 'Live'
...mwamuzi wa mchezo akijaribu kuongea na mchezaji wa ES Satif
Mashabiki
Kikosi cha Msalaba mwekundu ( Huduma ya Kwanza)
Askari nao waliamua kuangalia mpira
...Ulinzi ulikuwa wa kutosha
Furaha baada ya kupata goli la pili
Ujumbe kwa wapenzi wote wa soka.
...Huduma ya kwanza ikitolewa
Ndelemo na vifijo vilitawala katika mechi hiyo.
Mashabiki waliitikia wito kwa nguvu
...ni rangi nyekundu tu ndiyo ilitawala uwanjani
Mlinda mlango wa Simba, Juma Kaseja akiwa akipongezwa na mwalimu wake.
Watangazaji wa Clouds Fm/Tv Ephraim Kibonde akifanya mahojiano na mlinda mlango wa Simba, Juma Kaseja mara baada ya mpira kuisha. Ambapo Clouds Tv ilikuwa ikionyesha 'live' mpira huo.
Watangazaji wa Clouds Fm/Tv Ephraim Kibonde na Shafie Dauda wakifanya mahojiano mara baaya ya mpira kuisha. Ambapo Clouds Tv ilikuwa ikionyesha 'live' mpira huo.
Wafanyakazi wa Clouds Fm/Tv wakibadilisha mawazo
Watangazaji wa Clouds Media upande wa Clouds Fm/Tv na PrimeTime Promotions wakiwa katika picha ya pamoja.
Picha kwa hisani ya http://kajunason.blogspot.com/
kweli watan wanachukiana yan kuna picha abayo kinadada wapo hap na kina nurdin bakar na abuu ramadhan yan watan wwa simba wanauchungu yani kuliko mtu aliyemfumania mke au mumewe ushabiki huu unavyoendelea tunaelekea kubaya
ReplyDeleteMdau wa kwanza huyo ni Nizar Khalfani na Abuu Ramadhani sio Nurdin
ReplyDeleteShaffih dauda nakushukuru sana kwa picha za matukio ya mechi ya simba kwa sisi ambao hatukupata nafasi ya kuiona mechi kwa kweli picha hizo zinasisimua mwili, kwa kweli support ya mashabiki ilikuwa kubwa sana na uwepo wa hao waheshimiwa na hasa hatua waliyochukua ya kwenda kuwaona wachezaji wakati wa mapumziko kwa kweli iliwatia hamasa wachezaji na kujiona wana deni kubwa, raha ya mpira bwana mshinde, Simba bado wana kazi ngumu mechi ya pili ila kama wakijipanga vema uwezo wa kuchomoka ugenini bado wanao, na hata ukijaribu kuangalia mechi nyingi wanazocheza simba ugenini huwa hawa paki basi pamoja na kwamba wamekuwa wakipoteza ila huwa wanafunguka.
ReplyDeleteShaffih kama unaweza kutuwekea clip za hayo magoli kwenye hicho kipute itakuwa poa sana.natanguliza shukrani.
Mdau.
Mike.
shaffii hv unakili gani kuendelea kuonyesha kutoridhishwa na kamati ya tibaigana yani jana ndo nimejua we ni mnazi wa wekundu kwelikweli hvi kama mchambuz unayedhani umebobea huoni kuwa secretariret iliyokuwa ipeleke rufan kwenye kamati ya rufaa imezikalia tu na huelewi maana ya haki ya kusikilizwa na wala huelewi kuwa suala lile ni la emergency kwwa kua waliokata rufaa wengine waliomba wafunguliwe ili wacheze baadhi ya mechio za ligi na wala huoni kuwa Secretariet kutopeleka vielelezo huku ligi inaendelea ni uzembe na hujuma wwe huna hata reference hv nikuulize suarez alipomtukana Evra ALIANDIKIWA MASHTAKA NA AKAPEWA NAFASI YA KUJITETEA hlo hulioni acha unazi ww HAKI ZA BINADAN SIO KIIVYO KUMUNYESHA REFA KLA SAA AKIPIGWA HUO NI UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU YEYE PIA ANAFAMILIA NAFAMILIA YAKE HAIPENDI KUONA NDUGU YAO AKITUMIKA KILA SAA KUKUPA UMAARUFU FEKI KWA UNAZI WAKO USIO NA MSINGI. WALA USIO NA FAIDA KWA SOKA LA TZ KWA NINI USIISHUTUMU KAMATI ISIYO NA MAMLAKA KUAMUA MASUALA YA NIDHAMU UNAENDELEA KUMSHIKIA BANGO MWASIKA AMBAYE KILA MTANZANIA ANAONA NA ANAJUA KABISA KUWA MWASIKA AMEKOSEA KWANN UENDELEZER UPENZI USIO NA MANA KWENYE CHOMBA AMBACHO TUNAAMINI SIO CHA SIMBA WALA SIO CHA KISHABIKI NI CHOMBO KINACHOPENDWA NA WATANZANIA WENGI.
ReplyDeleteNILIKUEPO UPANDE WA YANGA SIKU YA MECHI KIYKWEKI WAKISUBIRI UPITE UPANDE WAO WAKURUSHIE VITI NA WAKATI UKIHOJIWA NA KIBONDE MATUSI WALIYOKUA WAKIKUPOROMOSHEA NI MENGI SANA