Search This Blog

Tuesday, March 20, 2012

QUOTE OF THE DAY: SAMIR NASRI "NIMEIMARIKA MNO TANGU NIJE CITY"

"Nilipokuwa Arsenal nilikuwa nacheza mara nyingi mno, ndio maana nilikuwa naumia mara kwa mara. Nilihisi kufa, lakini sasa nimeimarika sana nikiwa hapa Manchester City hasa kiakili." - Samir Nasri akizungumzia sababu za kuumia kwake wakati alipokuwa anacheza Arsenal.

5 comments:

  1. dogo anajitetea tu,city hana nafasi huo ndio ukweli tu,mbona Yahya na Silva wanacheza sana city na hawaumii?ila yeye aendelee kuvuna pesa tu.mimi Yahya wa Dar.

    ReplyDelete
  2. hana lolote, anatetea benchi tu, sasa kwa kawaida utaumiaje kama hauchezi mpira .....inawezekana akawa sahihi ila kwa umri wake na uzoefu alionao katika mpira, kucheza mara kwa mara kuhusisha na maumivu kunatupa walakini, labda aongelee kuchoka. lakini pia siamini kama alitumika kupita kiasi alipokuwa arsenal mpaka afikie kupata maumivu anayodai. nasri bado ni mchezaji mzuri kwa kiwango chake, tatizo nafasi yake katika timu kama mancity iliyo na wachezaji mahiri kunamtaka asitetereke kiwango chake, lakini pia nadhani aina yake ya uchezaji(taratibu) ukilinganisha na mfumo wa anaoutaka mancin inamfanya asipate nafasi ya uchezaji wa mara kwa mara.asitetee benchi huyo

    ReplyDelete
  3. dunia hii hakuna mchezaji anayependa kukaa bench kama yeye kalidhika kwa kuwa hafanani na wenzake wanaopata nafasi katika timu kama haamini amuulize tevez yeye hana jipya kapotea kwenda city

    ReplyDelete
  4. INAWEZA IKAWA KWELI KUTOKANA NA MAZINGILA YA KITIMU.NA INAWEZA IKAWA NI KUTETEA BENCHI LAKE

    ReplyDelete
  5. kutokana nakuwepo na timu ya arsenal alikuwa akipata namba mala kwa mala na alipo sasa club ya man city namba ni hafifu ni mtu wa benchi.na inaweza ikawa ni utetezi wake wa kutetea benchi

    ReplyDelete