Search This Blog

Saturday, March 31, 2012

NADIR HAROUB ALISTAHILI LEO KUCHEZA AU LA ?



Kanuni  YA 25 ya udhibiti wa wachezaji :
Tff itadhibiti mienendo ya wachezaji kwa kuchukua hatua kama ifuatavyo.

A) MCHEZAJI ATAKAYETOLEWA NJE KWA KADI NYEKUNDU BAADA YA KUPATA KADI MBILI ZA NJANO, HATARUHUSIWA KUCHEZA MCHEZO MMOJA
B) MCHEZAJI ATAKAYEPEWA KADI NYEKUNDU ( STRAIGHT RED CARD ) ATAKOSA MICHEZO MIWILI. 
C) MCHEZAJI ATAKAYETOLEWA NJE KWA KADI NYEKUNDU KWA KOSA LA KUPIGA AU KUPIGANA ATASIMAMA KUSHIRIKI MICHEZO MITATU INAYOFUATA YA KLABU YAKE NA ATALIPA FAINI YA TSH 500,000
D) WACHEZAJI 5 WAKIPATA KADI KTK MCHEZO MMOJA KLABU ITALIPA FAINI  YA TSH 500,000
E) MCHEZAJI AKIPATA KADI JUMLA YA KADI TATU ZA NJANO ATASIMAMA MCHEZO MMOJA

5 comments:

  1. kaka umeeleweka vzuri maana kanavaro hakupiga refa,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwanini alipewa kadi!!!

      Delete
    2. Alipewa kadi kimakosa. Aliyestahili kupewa kadi ni Mwasika. Kwa kanuni ya 25, Nadir alistahili kucheza maana alishakosa mechi mbili ikizingatiwa adhabu ya mechi sita ilikuwa imesitishwa na kamati ya nidhamu.

      Delete
  2. kaka soka ya nyumbani kikweli unaitajika reform hasa kwenye uendeshaji samahani hizi kanuni are basically a joke kwa nini nasema hivyo ni kwa sababu tumechukua kanuni za FA na kuzifanya light. football standard ya Uk ni kubwa na wana implement strict rules at least kwetu standard iko kidogo chini tungekuwa na much stricker rules but one thing we can be proud of such things rarely happens in the pitch and i think we should work towards making sure such things don't happen at all. Football= non violence

    ReplyDelete
  3. Kwanini Kama hakustahili kupewa kadi alitumikia mechi mbili, kwa kosa lipi! Kiukweli Nadir alihusika na ndio aliyesababisha muamuzi kupigwa, yeye ndio wa kwanza kumzonga mwamuzi mpaka Mwasika akapiga ngumi canavaro ndio aliyekuwa akimpa kashikashi, lakini kwa soka letu la Bongo na Siasa zetu hizi za kupokea pesa za Rada halafu mwizi hamumjui! Matokeo Yake mtakuja kudaiwa mzirudishe tena Kyle zilipotoka wakati mshazikalia viti virefu,. Inawezekana Yanga hawana makosa kumtumia Canavaro kwasababu hawakupewa taarifa atumikie mechi ngapi, na Yanga kwa akili ya kawaida wakamtumia bila kuomba ufafanuzi, waliongea juukwajuu tena kwa simu, aaahhh mnaweza mkamtumia! Adhabu sizimeshafutwa bwana!! Mohd AbuSabr Elhind. Bp Upanga

    ReplyDelete