Search This Blog

Tuesday, March 27, 2012

KUNA ULAZIMA GANI WA KUTUMIA NGUVU ZOTE HIZI KWA MTUHUMIWA ?



Binafsi sifurahishwi na vitendo vya kiuhuni vinavyofanywa na mashabiki viwanjani,
Nadhani huu pia siyo ustaarabu wa kuwahukumu pindi wanaposhikwa na hatia!

ni kweli huyu shabiki alifanya kitendo si cha kiungwana kwa kutupa chupa ya maji kwa waaamuzi mara baada ya mchezo kumalizika, na askari kanzu ndio aliyemuona ambaye pia alikuwa amekaa jukwaani kama shabiki mwingine.
lkn bado hawana haki ya kumhukumu kama inavyoonekana hapo.

No comments:

Post a Comment