MIMI,NTEZE NA MDAU ABDULRAHMAN DOLA
NAKUMBUKA WAKATI NACHIPUKIA HUKU NIKICHEZA SOKA LA BONGO KWENYE MITAA YA MSASANI MAENEO YA NAMANGA,BLOCK 41,KINONDONI KWA UJUMLA, MIKOCHENI,SHULE YA MSINGI (UMITASHUMTA ),SEKONDARI ( UMISETA ),TEMEKE,TANDIKA,ILALA HASA MAENEO YA FIRE PALE KARIAKOO HATA MIKOANI PIA KAMA VILE MBEYA,TABORA NILIKUA NA A.K.A KIBAO .KAMA VILE LUNYAMILA,NTEZE JOHN, GIGGS NA SOLSKJAER....BINAFSI NILIWAPENDA SANA LUNYAMILA NA NTEZE JOHN (NATUMIA GUU LA KUSHOTO PIA).
HAPA NIPO NA JEMBE NTEZE JOHN LUNGU, KWASASA NTEZE YUPO NA ANAISHI NCHINI MAREKANI.
Nteze John Lungu kweli hilo lilikuwa jembe haswa, moja ya washambuliaji ambao Simba itawakumbuka daima, nimefurahi kumuona tena hasa kuona ana endelea poa kimaisha pia.Much respect.Mungu azidi kumbariki.
ReplyDeleteMdau
Mike.