BREAKING NEWS! STEPHANO MWASIKA AFUNGIWA MWAKA MMOJA!
kamati ya mashindano ya TFF imewafungia wachezaji watano wa Yanga kutokana na vurugu zilizotokea hapo siku ya jumamosi kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Azam Fc,
wachezaji waliofungiwa ni Stephano Mwasika aliyefungiwa mwaka mmoja huku Nadir Haroub na Jerry Tegete wakifungiwa jumla ya michezo sita,Nurdin Bakari na Omega Seme wamefungiwa kila mmoja michezo mitatu.
huku Yanga ikipigwa faini ya shilingi milioni 4.5.
Ni sahihi kabisa.Kuzima njama za kuhujumiwa ni kucheza mpira wa uhakika na sio kufanya vurugu hadi kumpiga mwamuzi,haya ni makosa na wachezaji wote wajifunze kutokana na hili.Kama Yanga wangeingia uwanjani na nia ya kucheza mpira haya yote yasingetokea kabisa.La
ReplyDeleteLakini je na mwamuzi alikuwa sahihi sana kiasi cha kupigwa ngumi na kushindwa kutoa kadi?Hatuhitaji kulijadili,hayo ni mapungufu ya mwamuzi pia pamoja na wasaidizi wake.Ningependa kujua mwamuzi naye kapona au ana adhabu pia.
Abraham Jesse Mcharo
Kurasini.
Nimesikitishwa sana na adhabu hii walotoa TFF masikitiko yangu si kwa kuwa adhabu hii imewapata wachezaji hawa bali nasikitika kuona TFF wakishindwa kutoa hukumu sahihi kwa kitendo cha kipuuzi kabisa katika ulimwengu wa soka. Wachezaji hawa wanaoendeshea kws nguvu zs bange wanastaili adhabu kubwa zaidj ya hii. Kwa adhabu hii TFF wamemzadharirisha refa alopigwa. Lakini pia wajizaririshwa wenyewe kama chama cha mpira na kuizaririsba ligi kuu bara na taifa kwa ujumla. Kwa adhabu hii kitendo hiki kitajirudia tena.
ReplyDeletehongera TFF,sema wamesahau faini kwa wachezaji husika;ANGALIZO,TUMEZOEA KUSIKIA MARA OO ADHABU IMEPUNGUZWA MARA IMEFUTWA,KWA TUKIO HILI SITEGEMEI KUSIKIA HAYO.
ReplyDeleteBONNY PESABON
SPORTS XTRA CLOUDS FM GROUP MEMBER
Kiukweli wachezaji walifanya vibaya sana kumpiga mwamuzi, lakini adhabu ya mwaka mmoja kwa mwasika ni kubwa sana. Alistahili afungiwe japo mechi tano ama sita wakati huo huo mwamuzi afungiwe maisha. Hao ndo wanaothorotesha soka la bongo na njaa njaa zao.
ReplyDeleteNice to here dat but we have a long journey to go....! Am not delighted with broken of chairs n' other poor things made by fans in toilet. Let us learn a one thing, At a time when we learn how to deliver a win situation it z equal to de time dat we are needed to learn how to deliver a loose results. Shame on us Tz fans we are needed to change our poor mind n' focus on real devl of football...! Young African forever
ReplyDeleteWamevuna walichopanda, na kama mimi ningekuwa niko kwenye hiyo kamati pengine adhabu ingekuwa zaidi ya hapo, walifanya kitendo ambacho sio cha kiuanamichezo, si cha kiungwana mu wala si cha kibinadamu kabisa. shame on them.
ReplyDeleteadhabu ndogo hiyo
ReplyDeleteKaka shaffiq vp khsu Niyonzima game mmoja na yeye au imefutwa ile red?
ReplyDeleteUkweli Shafii inasikitisha kwa nchi kama Tanzania ambayo kila mwezi inazidi kuporomoka kwenye ranking za FIFA mwisho wa siku ligi yake inafikia hatua kama hii,kiukweli ninaungana na wapenda michezo wote kulaani vitendo vya utovu wa nidhamu vilivyooneshwa na wachezaji wa Yanga dhidi ya mwamuzi Israel Mujuni,lakini ifike wakati hata chanzo cha tukio kitazamwe kwa undani kwani tunatakiwa kufahamu kuwa siku zote refa sio Mungu,hivyo naamini kutokana na mazingira ya mchezo ulivyoanza hadi kupelekea vurugu kutokea kiukweli mwamuzi alikuwa HARSH kwa maana alitawaliwa na hisia zilizokuwa zikiongelewa na mashabiki hata kabla ya mchezo ktu kilichompelekea Mujuni kutojiamini alipokuwa uwanjani,kutokana na hilo Shafii kupitia SPORT XTRA YA CLOUDS FM na SPORTS BAR YA CLOUDS TV naishauri TFF ijaribu kuwaangalia waamuzi wa kuchezesha hizi mechi kubwa na mwisho wa siku kutokana na tukio kama hili TFF walitakiwa kuchunguza kwa undani sababu zilizochochea mchezo kuharibika kwani ni kweli wachezaji wanamakosa lakini wawe wazi hata kwa waamuzi kama hawa yawezekana Mujuni alivuna alichokipanda.. kwa maana yote yasingetokea kama naye angelifuata sheria 17 za soka,Naamini kosa la HARUNA NIYONZIMA lilikuwa soft sana ambalo halikuhitaji maamuzi magumu kama yale!!! Kama kweli tunataka tujinasue kuitwa KICHWA CHA MWENDAWAZIMU kila kukicha mabadiliko ya ubabaishaji katika soka letu yaanzie kwa TFF na waamuzi kwa ujumla.
ReplyDeleteEdger Mtitu
Iringa.
kwa kilichotokea uwanjani kwa kweli hakivumiliki kimeuzalilisha sana mchezo wa soka na hasa soka la Tanzania naungana kabisa na Tff kwa hili nadhani ni fundisho kwa wote waliohusika katika hili na wengine pia.Ili tuendelee inapaswa kuwa makini kwa kila kitu hasa maamuzi na zaidi sana pindi unapotakiwa kutoa maamuzi magumu.Namalizia na uongozi wa Yanga ili kurudisha imani kwa wapenda soka na hasa mashabiki wake inawapasa kuomba radhi kwa uma wote wa wapenda soka asante Soka letu litaendelezwa na sisi wenyewe tuache haya mambo
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteEti nasikia ili upangwe uchezeshe match kubwa basi ni lazima utoe mlungula....Shaffii una tetesi zozote kuhusu ili? Embue funguka kwa kufanya kazi ya uandishi wa habari (uchunguzi na kuvumbua maovu)
ReplyDeleteKwa kilichotokea kwenye mechi hiyo kinaonyesha jinsi gani wachezaji wetu wasivyojua nini wanakwenda kufanya uwanjani.Uwanja ndio ofisi ya ajira yao.Kwa hili sijui kama kuna hata mmoja wao anayetarajia kuwa atakuwa PROFESSIONAL.Congraturation kwa NSAJIGWA ameonyesha ni vipi Nahodha anatakiwa iuwa.
ReplyDeleteKAMA TUNATAKA KUSONGA MBELE KATIKA SOKA NADHANI ITABIDI TUZINGATIE SANA NIDHAMU ZA WACHEZAJI WETU,HII TIMU SIO MARA YA KWANZA KWA UTOVU WA NIDHAMU NA HAITAKUWA MARA YA MWISHO YAANI WATAFANYA TENA TU MADUDU KAMA HAYA,WALISHAWAHI KUGOMA KUCHEZA NA SIMBA NANI ASIYEJUA MLIWAPA ADHABU ALAFU MKAWASAMEHE JAMANI HIVI TUNAJUA TUNALOFANYA KWELI???....MI NADHANI HII YANGA INAMATATIZO TIMU GANI SASA HII,KAMA WACHEZAJI WENYEWE NDIO HAWA WANARUSHA NGUMI ALAF WATU WANAWAANGALIA TU KWELI HIKI NDIO KICHWA CHA MWENDAWAZIMU!!!!!..HAYA BWANA KAENI NA YANGA YENU!!!!!
ReplyDeleteUkifatilia kiundani zaidi hakukuwa na sababu ya kumpiga na kumtolea maneno yasiyofaa katika mchezo ule, maana kunasheria nyingi sana katika soka sasa inabidi tena haswa kunapotokea uonevu wa aina yoyote katika mchezo kuna taratibu inabidi zifatwe na wachezaji ili kuhakikisha anakwenda mbele kimaendeleo na si kurudi nyuma, kwa hiyo lile tendo la kuanzisha fujo ndani uwanja si zuri hata kidogo ha adhabu zilizotolewa kwa wachezaji hao ni sahihi kabisa
ReplyDeleteKaka shafii, huyo refa ni kimeo mbaya. Wkt nasoma tambaza kulikua na inter class competition yy ndo alikua refa coz anafundisha hapo, iikua HGE sie na PGM bwana ee balaa, magori hayana nyavu, hge tulipigiwa mpira wa nje kbs majamaa wa PGM wakaanza shangilia kwamba gori, yn tifu likaanza bt kwa busara za headmaster by that time alikua Mr Buretha, watu tukatulia tukaendelea, kasheshe kipindi cha pili coz HGE tukafunga gori tukaamka kwa kushangilia balaa dah cndo refa akalikataa gori letu, lilizuka zogo la kufa mtu mpk wasichana wa hostel wakafanyiwa kitu mbaya yn tifu la kufa mtu mpk kesho yake watu wakapewa suspension na adhabu kibao. so huyo refa ni kimeo kabisa uliza mwanafunzi yeyote wa tambaza wa mwaka 2005/2007 yn mpka headmaster akaapa from that day hakutakua na mechi yyt tambaza cjui this time kwasababu hayupo pia by(AKON of HGE)
ReplyDeletehongereni kwa maoni ila mbona hamjamzungumzia refa au yeye mwema au nyinyi nyote ni mashabiki wa ........ na wasipo lekebishwa hao marefa watapigwa sana, na ukimchunia refa eti ukalalamike baadae matokeo hayabadiliki.
ReplyDeletekatika mifumo ya kusolve society problems kama hizo zinazohusu mambo ya utovu wa nidhamu , huwa tuna chora problem tree then tunaanza kufanya analysis ya problems hizo taratiibu kuanzia kwenye tawi hadi kuja kwenye shina ambapo huwa ndio tunaita primary source. Hivyo basi katika kusolve problem hiyo huwa tunaallocate reorces nyingi zaidi katika shina ambapo ndio huwa chanzo cha problem huku tukiweka resources chase sana kwenye matawi. Hivyo basi, wito wangu mimi ni kuwaomba wooote nyie mliotoa maoni hapo juu mzitumikishe akili zenu kufikiria actions na sio reactions kwani actions na reactions are equal and opposite! unazi tu huo hamna uzalendo wa kihiiivyo!
ReplyDeleteAm totaly disapointed na football ya bongo bt najiuliza hivi ni kwanini tunaangalia impact na sio cause? nasikitik kusema wengi waliocomment hii post wamejawa na ushabiki wa timu fulani, mim juzi nilikuwepo stadium na nilienda makusudi kwaajili ya kuangalia mpira bt nasema mwamuzi ndio source ya kile kilichotokea pale uwanjani coz nafikiri alihitaji kuwa more saikological kulingana na tension ya match jinsi ilivyo kuwa but Nkongo yeye alibase sana kwenye sheria, frankly speaking kila timu ina key player wao just imagine leo hii Van Bullet/Hakunaga, Emmanuel Okwi, Wayne Rooney wangepewa kadi nyekundu kama ile laini ya niyonzima ingekuwaje? na wadau tukumbuke Yanga hii ilipata tuzo last season kwa kucheza msimu mzima bila kadi nyekundu, je hao azam msimu uliopita hawakucheza VPL? Congrats TFF kwa Maaamuzi sahihi kwa Mwasika but kwa Nurdin, Omega Seme, Nurdin, Tegete BIG NO.
ReplyDeleteYoung Producer
soka siyo siasa wala maneno maneno 2 soka ni vitendo tena vitendo thabiti vy watu wa mpira wenyewe na si vinginevyo......tutalaumu sna wachezaji lakini kama ni mfuatiliaji wa mambo ya soka haya si mambo mageni katika soka hasa kunapotokea waamuzi wababishaji kama hawa kwenye soka hapa si swala la kuita wachezaji wavuta bangi kwani mwamuzi hawezi kuwa mvuta bngi na akafanya maamuzi ambayo si sahihi.....suala ni wote kujua wajibu wao ipasavyo wawapo uwanjani na c kuendelea na mapenzi na unazi usio na maana unashangaa hii refa kupigwa wa2 waliuana baada ya timu kukosa point kwa 7babu zinazofanana na hizi tusingee mpira kinadharia..bana(YANGA IMARA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO)..NAITWA CHANDE
ReplyDeleteje ilikuwa sahii refa kutoa kadi tatu za njano na nyekundu moja kwa mchezaji mmoja?kwa wachezaji adhabu ibeki hile hile.
ReplyDeleteWalipaswa kufungiwa kujishughulisha na soka maisha yao yote. ni aibu sana kumshambulia refa namna ile wangeweza kuamsha hasira za mashabiki na wao waingie kutwangana uwanjani, Mfano ingekuwa ni mechi ya Simba na Yanga. ingekuwaje?
ReplyDelete