Search This Blog

Wednesday, February 1, 2012

FRANCIS CHEKA MADA MAUGO KUGOMBEA UBINGWA WA IBF RAUNDI 12 APRIL 28 PTA SABASABA


Makamu mwenyekiti wa Oganaizesheni ya ngumi za Kulipwa Nchini, Madaraka Nyerer (Kushoto) akiwaelekeza mabondia Fransc Cheka kulia na Mada Maugo jinsi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kupigania ubingwa IBF raundi 12 litakarofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Aprilo 28.(picha na http://www.superdboxingcoach.blogspot.com/)

Bondia Mada Maugo akiongea na waandishi wa habari wakati wa kusaini mkataba uho leokupigania ubingwa IBF raundi 12 litakarofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Aprilo 28.(picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)



Bondia Fransic Cheka akizungumza na waandishi wa habari leo kupigania ubingwa IBF raundi 12 litakarofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Aprilo 28.(picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

2 comments:

  1. ok asante kwa taarifa maana lazima nisafiri mpaka mjini kucheki huo ugomvi,cheka tafadhali nipigie huyo mtu knock out dis time ili akae kimya maana anaongea sana huyo jamaa kama haye
    chela wa dom

    ReplyDelete
  2. Nimeshachoka hii kitu.
    Kila siku Cheka vs maugo,cheka vs maneno, cheka vs matumla, cheka vs nyilawila.Ilimradi kila mtu anamtaka cheka.Hivi kwa staili hii mchezo unaenda mbele au unarudi nyuma.Vyama husika na wadhamini wasaidie hawa vijana wapate mapambano nje ya nchi.Mapambano haya yanawasaidia kupata senti 2-3,lakini hayajengi 'career na future' yao.

    ReplyDelete