nakumbuka ilikuwa miaka ya 1991-1992 ambapo pamba ilishinda 2-0. nakumbuka wachezaji waliokuwemo ni pamoja na madata rubigisa,paul rwechungura,deo mkuki,niko bambaga,nteze john,hamza mponda,george masatu,james washokera,husein masha,khalfan ngasa,kitwana selemani nafikiri na fumo felician alikuwemo,dam muhoja,na ipande wa hshirika nawakumbuka akina joseph katuba,willy martin tena alikuwa na mguu mmoja mfupi,na akina willy mtendawena. baada ya kushuka daraja sikweza kushabikia tena mpira ila nafuatilia tu. niliipenda sana pamba ya mwanza. kipindi hicho nilikuwa naingia darasa la pili ila tulikwenda kuuona na kaka yetu. kiingilio ilikuwa shilingi 20 kwa watoto wakubwa shilingi 70-100
mtanange huu naukumbuka, matokeo yalikuwa 2-2, kikosi cha USHIRIKA waliochuchumaa kutoka kulia: Willy Martin, Ofen Martin, Waziri Ally, Julius Kalambo, ????, Kaunda Mwakitope, Venance Mwakalukwa, na Bahatisha Ndulute. waliosimama toka kushoto : omar Abbas (mfungaji bora wa mwaka 1990.
Ushirika ni chama ambalo mshua wangu amelichezea now chama lipo taaaban.
ReplyDeletenakumbuka ilikuwa miaka ya 1991-1992 ambapo pamba ilishinda 2-0. nakumbuka wachezaji waliokuwemo ni pamoja na madata rubigisa,paul rwechungura,deo mkuki,niko bambaga,nteze john,hamza mponda,george masatu,james washokera,husein masha,khalfan ngasa,kitwana selemani nafikiri na fumo felician alikuwemo,dam muhoja,na ipande wa hshirika nawakumbuka akina joseph katuba,willy martin tena alikuwa na mguu mmoja mfupi,na akina willy mtendawena. baada ya kushuka daraja sikweza kushabikia tena mpira ila nafuatilia tu. niliipenda sana pamba ya mwanza. kipindi hicho nilikuwa naingia darasa la pili ila tulikwenda kuuona na kaka yetu. kiingilio ilikuwa shilingi 20 kwa watoto wakubwa shilingi 70-100
ReplyDeletemtanange huu naukumbuka, matokeo yalikuwa 2-2, kikosi cha USHIRIKA waliochuchumaa kutoka kulia: Willy Martin, Ofen Martin, Waziri Ally, Julius Kalambo, ????, Kaunda Mwakitope, Venance Mwakalukwa, na Bahatisha Ndulute. waliosimama toka kushoto : omar Abbas (mfungaji bora wa mwaka 1990.
ReplyDeletemimi namkumbuka kocha koroso wa ushirika alikuwa bonge la kocha
ReplyDeletewako
James