Search This Blog

Thursday, January 19, 2012

PEPE NA VITUKO VYAKE..

6 comments:

  1. HUYU PEPE ITAKUWA ANA MATATIZO YA KIAKILI.

    SI MARA MOJA AMEKUWA AKIFANYA MAMBO HATARISHI NA YASIYO YA KIUANAMICHEZO KWA WENZAKE.

    INAWEZEKANA NDO MAMBO ALIYAZOEA KWENYE SOKA LA MCHANGANI HUKO KWAO URENO

    UKICHEK VIZR HIYO VIDIO ALIKUSUDIA KUMKANYAGA JAMAA NADHANI NA NAAMINI ATAADHIBIWA KWA HILI

    ReplyDelete
  2. Huyu pepe achunguzwe mi nadhani hana akili timamu au ni Mnyama flani tu kwasababu matendo yake ya ukatili yanatuudhi hadi washabiki wa madrid na anatugharim sana mwehu huyu
    Chela wa dom

    ReplyDelete
  3. Kuna wkt alifungiwa mechi 10 kwa kufanya upuuz km huo.

    Ni beki mzuri ila vitendo vya kipuuzi anavyofanya vinamwondoa kwenye list ya vitasa bora.

    Anapaswa kupewa darsa la kiakili.

    ReplyDelete
  4. Kazoea toka mchangan huyo alafu anabahati ya kutoa-adhibiwa huyo jamaa manake angekuwa luis Suarez hapo angefungiwa mechi 16

    ReplyDelete
  5. Jamaa alikuwa anatafuta kadi nyekundu kwa kila hali. Nina wasiwasi na uchezaji wake anapokutana na Barcelona.
    Hebu angalia aliposimama kabla Puyol hajapiga kichwa na kufunga lile goli la kwanza.
    Ukiangalia kwa makini utaona hakutaka kujishughulisha au kumkaba muhusika.
    Baada ya miaka tutapata uhusiano wake katika kupanga matokeo. Hivi sasa ni ngumu lakini anatakiwa achunguzwe kwa ukaribu.

    ReplyDelete