That means Okwi wont be back again to simba sport club. The rumours of fighting against Boban is true and Simba's leaders fail to solve that issue. Welcome to Dar Young African.
Kaka shaffih, huyu jamaa nahisi baada tetesi za kuwa alipigwa na Boban ingawa uongozi wa Simba ulikana pamoja na yeye mwenyewe kutishia kwenda mahakamani, inaonekana jamaa kaona lawama nyingi kwake mara kasoma na Ridhiwani wakati Okwi ni mdogo sana kwa Ridhiwani. Yuko sahihi kondoka Simba. Waliotoa comment hapo waache unafiki hata viongozi wa simba wana makosa
si okwi peke yake wachezaji wa kibongo wanatakiwa kutambua na kusimamia haki zao na wao watimize wajibu wao kwa mujibu wa mikataba walioingia na hizo timu wanazozichezea, pia ni wakati mwafaka kwa wachezaji wetu kuwa na wanasheria wao au hata kuwa na maconsultants wenye kuzifahamu sheria na mikataba ya ajira, mambo ya kuburuzwa sasa baaaasi, its the time to stand and move on on ur own.
yamefika wapi tena mbona umerudi. Okwi, uganda siyo mbali tunaijua nchi yako ina njaa kama hapa bongo hii kwako ajira komaa ufanye kazi. Unaringa wakati waganda wenzako huko kabale na karamoja wanalala njaa. usitukane wakunga wakti mkeo anakwenda kliniki
which decision
ReplyDeletewhat decision! Asituzingue
ReplyDeleteCjakuelewa unaweza kufafanua shafiihh anaimanisha nini Okwi?
ReplyDeleteCjakuelewa unaweza kufafanua shafiihh anaimanisha nini Okwi?
ReplyDeleteYeye analeta malingo kucheza soccer ya kulipwa bongo...ushamba huo, Simba mwacheni huyo lets move on....
ReplyDeleteThat means Okwi wont be back again to simba sport club. The rumours of fighting against Boban is true and Simba's leaders fail to solve that issue. Welcome to Dar Young African.
ReplyDeleteKaka shaffih, huyu jamaa nahisi baada tetesi za kuwa alipigwa na Boban ingawa uongozi wa Simba ulikana pamoja na yeye mwenyewe kutishia kwenda mahakamani, inaonekana jamaa kaona lawama nyingi kwake mara kasoma na Ridhiwani wakati Okwi ni mdogo sana kwa Ridhiwani. Yuko sahihi kondoka Simba. Waliotoa comment hapo waache unafiki hata viongozi wa simba wana makosa
ReplyDeletesi okwi peke yake wachezaji wa kibongo wanatakiwa kutambua na kusimamia haki zao na wao watimize wajibu wao kwa mujibu wa mikataba walioingia na hizo timu wanazozichezea, pia ni wakati mwafaka kwa wachezaji wetu kuwa na wanasheria wao au hata kuwa na maconsultants wenye kuzifahamu sheria na mikataba ya ajira, mambo ya kuburuzwa sasa baaaasi, its the time to stand and move on on ur own.
ReplyDeleteOkwi karibu yanga hii ndo sehemu sahihi kwako nilikuwa jkt mgulani wakati umeshuka kwenye gari ya simba wasikuzingue njoo yanga m2 wangu
ReplyDeleteyamefika wapi tena mbona umerudi. Okwi, uganda siyo mbali tunaijua nchi yako ina njaa kama hapa bongo hii kwako ajira komaa ufanye kazi. Unaringa wakati waganda wenzako huko kabale na karamoja wanalala njaa. usitukane wakunga wakti mkeo anakwenda kliniki
ReplyDelete