Hizi ni Comments za baadhi ya mashabiki kutoka kwenye mtandao wa kijamii wa FACEBOOK!
• JANA ALIETUFUNGISHA NI ARSENE WENGER NA PIA NIMEGUNDUA ARSENE WENGER HAWEZI KUMFIKIA KWA MBINU SAF HATA ROBO. ARSENE WENGER KWA SASA ANAFA AWE MWALIMU WA ACADEMY NA KUWAIBUA WACHEZAJI KWA SABABU KWA HILO YUPO JUU. ARSENE WENGER SUB ZAKE NYINGI HUWA HAZIONGEZI CHOCHOTE KTK TIMU ZAIDI YA HASARA. HII NI MARA YA 2 NAONA ANAFANYA MAKOSA MPAKA WACHEZAJI WAKE HUWA WANAKASIRIKA NA KUTOPENDA MABADILIKO ANAYOFANYA. FAINALI YA CHAMPIONS LEAGUE YA 2006 ALIFANYA MABADILIKO AMBAYO HAYAKULETA FAIDA NA ANAFANYA HAYO MABADILKO KWA KUMTOA ROBERT PIRES NA KUMWACHA FREDRIK LYUMBERG AMBAYE GAME ILIMKATA. LEHMAN ALIPEWA RED NA LAZIMA ATOLEWE PLAYER ILI AINGIZWE KIPA LAKINI UNA ANGALIA PLAYER GANI WA KUMTOA KTK MAWINGA. NA MAWINGA PIRES NA LYUBERG NI LYUBERG NDIO ILIMKATAA. NA HENRY NA PIRES WALIKUWA WANAELEWANA SANA PALE MBELE. SASA MECHI YA JANA KTK MAPAYER AMBAO GAME ILIMKUBALI MPAKA MAN U WAKAWA WANAMHOFIA ALIKUWA CHERMBALIN. GAME INAENDA KWA KASI NA ANAYEIPELEKA KWA KASI CHERMBERLIN WENGER ANAMTOA ANAMUINGIZA ARSHAVIN AMBAYE FORM YAKE IMEKATAA TOKEA MSIMU ULIOPITA NA MPAKA SASA HIVI FORM YAKE HAIJARUDI. ARSENE WENGER BADO SANA UKILINGANISHA SAF NA MOURINHO NA PIA HATA PEP GURDIOLA. HESABU TOKEA 2000 UEFA NDOGO FAINALI NA GALATASARAI MPAKA SASA HIVI. ARSENAL INAHITAJI KOCHA MWINGINE MTAKE MSITAKE LAKINI BODI ARSENE WENGER NDIO ANAWAFAA>
o If the English Premier League were a classroom, Arsenal would be the boy who works hard throughout the year but fails to make the mark. Manchester City would be the spoilt kid who gets all the expensive and fancy books but is never interested in reading them. Liverpool would be that pupil that is very proud of his father’s academic achievements. As for Man United, it would be that kid who just rides out the term but still emerges top while Chelsea would be the pupil who fails and blames his teachers then his family hires a new teacher every year- RIDHIWAN KIKWETE
o FA charge Manchester City's Mario Balotelli with violent conduct after stamp on Tottenham's Scott Parker
The Italian striker faces a four-game ban after clashing with the midfielder during the 3-2 win over Spurs at the Etihad on Sunday and has until Wednesday evening to respond-HUSSEIN FACT KAPINGA
o We can take out a couple of positives from last nights match against Manchester United. One- RVP's amazing goal-scoring form. The Dutch maestro has 19 goals this season in the EPL and leads the top scorers section by a 5-goal margin! Another positive would be the performance of Alex Oxlade-Chamberlain. The English lad is definitely one for the future!-SOSY DIWANI
o Hiv ile subs: ya wenger jana ya kumtoa Alex oxlade-chamberlain na kumwingiza Andre arshavin alifikiria nin et,n kweli alishauriana na kamati yke ya ufundi pale bechi kweli or n yeye 2 alikurupuka 2 kwa vle yeye ndo mananger wa arsnal bac,kila k2 yeye 2.
Anyway pole sn fans wa arsnal wenger ndo mchawi wenu 2 wachezaj mnao wazur 2,sema kwa vle alex hakuwa mfarance bac wenger akaamua kumtoa asiendelee kushaini uwanjan.-NTANDU BODE
Ni kwel kwa % nyingi kuwa Chamberlain asingetolewa kuna uwezekano mkubwa matokeo yasingekuwa yale,alikuwa na 'pace' nzur na uwezo wa kumchanganya Raphael na kutoa pasi nzur hata kupiga mashut pia,pia uwepo wake ulisababisha Valencia arud nyuma kusaidia kukaba hii ilipunguza mashambuliz kwetu(Arsenal).Arshavin ndiye wa kulaumiwa kw goli la pili lkn lawama n za WENGER.
ReplyDeleteHivi nataka kuwauliza wapenzi wa soka la english primier league haswa wa arsenal. hivi kwanini hamtafuti tatizo la timu yenu ni nini ili mkaacha sababu za kila siku kumlaumu mzee wenger.mbona mnatushangaza sana arsenal haitegemei mchezaji mmoja mmoja au ndio mnamaanisha hivyo,,tunajua na kama mnaifuatilia timu yenu vizur mtagundua kabla ya game chamberlain alikuwa ni mgonjwa,, najua kama wenger amejaribu kujiokoa kwa kumuingiza kijana ingawa afya yake sio bora angalau aonyeshe uhai sababu timu ni bovu bovu kabisa kwani mashabiki wa arsena hamlijui hilo....ss leo mnamtukana hamuoni kama angalau amejitahidi kupunguza idadi zamagoli toka 8-2=5 amepunguza goal nyingi sana ingawaje ktk mcmu tutakuwa tumewafunga hivi 8+2=10...poleni sana kumbukeni kuziba ufa kwani mwizi itachungulia dani...K SHAABANI SHABIKI WA KUOKOTA WA MAN U
ReplyDeletesawasawa ww mshabiki wa kuokotwa wa man u!!!!!!nendeni mkacheze kombe lenu la mbuzi la uefa ndogo!!!
ReplyDeletemimi ni mpenz mkubwa wa arsenal napenda kusema tatizo kubwa la Arsenal lipo kwenye kiungo hasa Ramsey anamchosha sana Song kwasabab kaz kubwa ya Ramsey ni kukaa na mipira anayoreta song hasa kama sergio wa Barcca anavyosaidiwa na Xav pia Ramsey si quality ya mchezaj wa kucheza Arsenal pia hata Djaroe na Arshavin hawatakiw Arsenal,swala jingine ni kocha ambaye rawama zote huwapatia waamuz bila kulaum wachezaj ambao ni wazembe mfano Mancin baada ya Nasri kufunga hakufurah sana because tim ilikuwa haijaridhisha kiwango anachotaka,Tatizo jingine la Arsenal ni kukabia karib na lango lao hasa baada ya kufungwa hasa kwa kusubilia mipira itakayo potezwa na adui kwa bahat mbaya,safu ya ulinz ya kulia na kushoto ni mbov sana hata the return of sagna haiwez kuwa solution bila kuwa na mtu kama Maicon.WENGER ANABOA SIJUI WANAOMTETEA WANANN NA YEYE.
ReplyDelete"IN ARSENE WENGER WE TRUST" Bado sijakosa imani na msemo huu japoku sub aliyofanya iliushangaza ulimwengu na nadhani Wenger angekuwa muungwana kwa kukubali kubeba lawana kutokana matokeo yale
ReplyDeletenilikuwa naangalia lle gemu kwa makini sana kitendo cha kutolewa cham nilijua tatizo lipo na nilisha waeleza Asernal fans niliokuwa naangalia nao game kuwa Arsh atatufungisha nakweli ikawa vile jamaa mbovu sana sijui kwanini Babu alimuingiza duuuuu inauma sana Babu anastahili lawama kwa kufungwa kwe2
ReplyDeletePAUL NYINGO-THOBBY