Nicolas Anelka amekubali kujiunga na Chinese club Shaghai Shenhua.
The French star kwa muda mrefu sasa alikuwa akitegemewa kuondoka Stamford Bridge na alikuwa akihusishwa kuelekea Asia wiki iliyopita.
Na sasa Shenhua wametangaza rasmi kwamba Anelka atajiunga nao na kusaini mkataba wa miaka 3.
Anelka anategemewa kuwa anaingiza kiasi cha £175,000 kwa wiki.
Hapana, Anelka amejiunga kwa mkataba wa miaka 2 na siyo mitatu.
ReplyDeleteMdau
China