Search This Blog

Thursday, November 17, 2011

KOCHA KENNY MWAISABULA ATAJA KIKOSI CHA RAUNDI YA KWANZA YA VPL.

MZUNGUKO WA KWANZA WA LIGI KUU YA VODACOM UMEMALIZIKA HIVI KARIBUNI, KOCHA MAHILI HAPA NCHINI KENNY MWAISABULA ( MZAZI ) AMEKITAJA KIKOSI CHA WACHEZAJI WALIOFANYA VIZURI KWENYE HUO MZUNGUKO WA KWANZA.

Kenny Mwaisabula.






1- Mwadini mwalimu [Azam]
2- Hamis Mapande [JKT]
3- Waziri Ally [Azamu]
4- Shabani Aboma [Afikan Lyon]
5- Juma Nyoso [Simba]
6- Ibrahimu Masawe [Polisi ]
7- Nurdin Bakari [Yanga]
8- Haruna Niyonzima [Yanga]
9- Said Rashid [Mtibwa]
10- Haruna Moshi [Simba]
11- Ramadhani Chombo[Azam]

RESERVES

12- Juma Kaseja [simba]
13- Mohamedy Binsulum [villa]
14- Sabri Ramadhani [Coastal]
15- Shaban Ibrahimu[Ruvu]

16- Malegesi Mwangwa [Kagera]
17- Mohamedy Soud [Toto]
18- Andrew Basembe[Moro]
19- Ally Hamza [Oljoro]
20- Sunday Mussa [oljoro]
Hao ni wachezaji ambao binafsi niliona wanastahili kuwepo katika kikosi cha TAIFA STARS hawa ndo wachezaji waliocheza kwa kiwango kizuri mno na ushahidi pia utaupata TFF kupita kwa wataalamu wao, Wengi wa wachezaji hawa wamekuwa kwenye tuzo za wachezaji bora wa mwezi na hilo ndo uthibitisho kuwa ni wazuri

10 comments:

  1. Kachemka hapo kwa Haruna Niyonzima coz jamaa si mtanzania,ila bravo sura ngeni

    ReplyDelete
  2. ZEE la mawivu hili halina lolote

    ReplyDelete
  3. Safi kocha Mwaisabula, bila shaka umezingatia katika kuwapa fursa damu changa, huo ndio mfumo sahihi katika soka la kisasa, hata Kocha wa England, Fabio Capello ameliona hilo na sasa anataka kuimarisha kikosi chake kuelekea Euro 2012.

    ReplyDelete
  4. SASA HUYO NYONZIMA NI TAIFA GANI?
    James
    Holland

    ReplyDelete
  5. huyu nae nshaona huwa anongea kwa ushabiki

    ReplyDelete
  6. HIYO TIMU ISINGEFUZU KWA CHAD.....

    ReplyDelete
  7. EEH! NIYONZIMA ANA URAIA WA INCHI MBILI...

    ReplyDelete
  8. sasa hapo suala la ushabiki linakujaje,mzazi katoa wachezaji aliowaona ni bora katika mzunguko wa kwanza bila kujali Uraia wake sasa kosa lake nini ni na huo ndio mtazamo wake,timu iko bomba na ina damu changa safi saaaana

    ReplyDelete
  9. Huo ni mtazamo wake mzazi bila kujali uraia jamani watanzania wengi kazi yao ni kukosoa tu,safi mzaziii

    ReplyDelete