Search This Blog

Tuesday, November 15, 2011

FINAL SCORE: MCHEZO WA KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2014:TANZANIA 0-1 CHAD

DK 90: Mpira umemalizika Stars 0-1 Chad, TANZANIA imefuzu hatua ya makundi kwa sheria ya goli la ugenini.


DK 82: Machupa anafunga bao kutokana na pasi ya Samata lakini mwamuzi anakataa kwa kusema mfungaji ameotea.

DK 80: Chad wanamtoa Mahamat Habib aliyefunga bao na anaingia Dany Karl Max.

DK 75: Chad wanalishambulia kwa kasi sana lango la Stars, wanakosa bao la wazi baada ya Aggrey Morris kuondoa hatari langoni mwa Stars.

DK 70: Taifa Stars inafanya mabadiliko anatoka Henry Joseph, anaingia Abdi Kassim.

DK 68: Chad wanafanya mabadiliko anatoka Yaya Karim anaingia Appolinare.

DK 61: Stars wanalishambulia kwa nguvu sana lango la Chad.

DK 58: Stars wanafanya mabadiliko, anatoka Nizar Khalfan anaingia Nurdin Bakary.

DK 54: Tanzania inapata kona 3 na kushindwa kuzitumia vizuri.

DK 53: Thomas Ulimwengu anakosa bao la wazi hapa.

DK 49: Goaaaaaaaaaaaaal, Chad wanapata bao la kuongoza hapa.

DK 46: Kipindi cha pili kinaanza na Samta anakosa bao la wazi akiwa amebaki na kipa tu.

DK 45: Mpira ni mapumziko, Stars 0-0 Chad.

DK 38: Juma Nyosso anaokoa hatari hapa langoni mwa Stars.

DK 35: Jves Maldjilam wa Chad anapewa kadi ya njano baada ya kumchezea madhambi Shomari Kapombe.

DK 30: Nditi anakosa bao la wazi kutokana na krosi nzuri ya Ngassa.

DK 25: Chad wanafanya shambulizi kali lakini wanashindwa kulenga lango. Chad wanacheza mchezo wa counter attack huku wakipiga mashuti kila wanapopata nafasi.

DK 20 : Ngassa anaangushwa ndani ya eneo la hatari na mpira unatoka nje mwamuzi anaamuru kona, ambayo Stars wanashindwa kuitumia vizuri.

DK 15: Mahmat Habib wa Chad anapiga shuti kali na Kaseja anapangua inakuwa kona,

DK 12: Samatta anakosa bao la wazi akishindwa kuunganisha krosi nzuri ya Ulimwengu thomas.

DK 9: Stars wanapata kona lakini wanashindwa kuitumia.

DK 5: Nizar Khalfan anagongeana vizuri na Thomas Ulimwengu lakini anakosa bao hapa.

DK 1: Mpira umeanza na Chad wameanza kwa kasi sana. mwamuzi ni kutoka Madascar, Andraza Hamada.

9:45: Timu zinaingia uwanjani na nyimbo za taifa zinaanza kupigwa lakini cha ajabu hakuna hata bendera ya taifa inayopepea hapa uwanjani

Taifa Stars:

Juma Kaseja (1)

Shomari Kapombe (2)

Idrissa Rajab (15)

Juma Nyosso (4)

Aggrey Morris (6)

Shabani Nditi (19)

Thomas Ulimwengu (20)

Henry Joseph (17)

Mbwana Samata (10)

Nizar Khalfan (16)

Mrisho Ngassa (8)

Subs:

Mwadini Ally (18)

Erasto Nyoni (12)

Hussein Javu (23)

Mohamed Rajab (11)

Ramadhan Chombo (21)

Abdi Kassim (13)

Nurdin Bakari (5)

John Bocco (9)

Juma Jabu (3)

Godfrey Taita (7)

Chad (tentatively line up)

Brice Mabaya (1)

Sylvain Doubam (5)

Massama Asselmo (15)

Armand Djerabe (4)

Yaya Karim (2)

Herman Doumnan (6)

Ferdinand Gassina (17)

Ahmat Mahamat Labo (10)

Ezechiel Ndouassel (11)

Hassan Hissen Hassan (7)

Dany Karl Marx (9)

Subs:

Cesar Abaya (12)

Wadar Igor (13)

David Mbaihouloum (8)

Dillah Mbairamadji (16)

Djingabeye Appolinare (3)

Rodrigue Casmir Ninga (18)

Mahamat Habib (14)

Marius Mbaiam (

Abakar Adoum (

Jules Hamidou (


Ekiang Moumine (


7 comments:

  1. tatizo nini hao starz mpaka wanakosa magoli hivyo?

    ReplyDelete
  2. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Taifa Stars. Bila kusahau Mungu wa Wachad ni Mungu wetu sote.

    ReplyDelete
  3. tutawafunga tu wakulima hawa

    ReplyDelete
  4. kaka vipi tena...mbona update hakuna tena

    ReplyDelete
  5. magoli tunayokosa nimengi sana hiyo f/line inatuangusha

    ReplyDelete
  6. kaka shaffih mimi ni mdau namba moja wa blog yako..yani big up sana blog inatisha..ila nikuwa na pendekezo moja nilikuwa naomba uanze kutuwekea vile vipande vya mbwiga mbwigune humu bloguni kama mnavyofanya sports extra nitafurahi sana.

    ReplyDelete