Search This Blog

Tuesday, November 22, 2011

ENZI ZILE ZA KUBANDIKA MAPICHA UKUTANI!!!

AISEE NIMEPATA FURSA YA KUTEMBELEA 'GHETO' LANGU LA ZAMANI WAKATI HUO NAISHI KWA MZEE DAUDA....NA HIVI NDO LILIVYOKUA LINANG'AA,WAKATI HUO WEWE KWENYE KUTA ZA CHUMBA CHAKO ULIKUA UNABANDIKA PICHA ZIPI ?

6 comments:

  1. Bro kutokana na picha za hicho chumba yaonekana wewe ni shabiki wa ..... sports club!

    ReplyDelete
  2. Ndugu yangu alipenda kubandika picha za magazeti hasa za katikati na mbele, mimi sikutaka kubandika kitu chochote zaid ya nguo.

    ReplyDelete
  3. Kaka mimi mdogo wako enzi bado kadogo kama miaka kumi nyuma mzee akileta tu gazeti la michezo mi natoa picha ya mchezaji naweka ukutani

    ReplyDelete
  4. its true wewe ni shabiki wa samba,,usijifiche kaka

    ReplyDelete
  5. Jamaa ni simba lakini kwenye kazi yake(uchambuzi) usimba anauweka pembeni, namkubali kinomanoma.

    ReplyDelete
  6. Yeye kama shabiki wa soka lazima awe na timu. Jamaa ni simba lakini kwenye kazi yake(uchambuzi) usimba anauweka pembeni. Namkubali sana jamaa. Hategei hata kidogo kwenye kusukuma lile gurudumu letu la michezo tz lisilo kwisha pancha kila siku!

    ReplyDelete