Search This Blog

Sunday, October 9, 2011

STARS DAKIKA CHACHE KABLA YA KUWAKABILI MOROCCO..


HAPA WANAONEKANA WAKIWA WAMEJIPUMZISHA MARA TU BAADA YA KUTOKA KUOGELEA..


HAPA WAKIWA NA NYUSO ZENYE KUTIA MOYO KWENYE HOEL DU GOLF JIJINI MARRAKESH..

3 comments:

  1. mimi hata sijui kitakachotokea lakini ukweli sina matumaini bora enz za maximo wakati wa mechi ilikua kuna matumaini lakini kwa sasa sijui kama kuna lolote la maana tutakalopata kwa moroco zaidi ya kufungwa na kujaza pakacha la lawama

    ReplyDelete
  2. SAID UMESEMA KWELI NI BORA HATA MAXIMO WETU MAANA ALIKUWA ANATIA MOYO LAKINI HUYU BABU YETU HATASIMUELEWI.

    ReplyDelete
  3. anonymous,mlisema maximo mbabe sasa mnamkumbuka eeh.
    ila tuombe mungu walao leo tushinde kwanza kwani nionyeshwa goli3 kwa moja

    ReplyDelete