Search This Blog

Thursday, October 27, 2011

DSM DERBY COUNTDOWN :SIMBA vs YANGA kwenye mwezi wa OCTOBA.

MATOKEO YA MECHI ZA LIGI ZILIZOPITA ZA WATANI WA JADI ZILIZOCHEZWA KWENYE MWEZI OKTOBA;


P W D L
Yanga SC 13 5 2 6
Simba SC 13 6 2 5

NICO NJOHOLE ( KUSHOTO ) AKIWA NA ZAMOYONI MOGELLA..
OKTOBA 7, 1979
Simba v Yanga
3-1
WAFUNGAJI:
Simba: Nico Njohole dk. 3, Mohammed Bakari 'Tall' dk. 38, Abbas Dilunga dk.72. Yanga: Rashidi Hanzuruni dk. 4.

OKTOBA 4, 1980
Simba v Yanga
3-0
WAFUNGAJI: Abdallah Mwinyimkuu dk. 29, Thuwein Ally dk. 82, Nico Njohole dk. 83.

OKTOBA 20, 1990
Yanga v Simba
3-1
WAFUNGAJI:
Yanga: Makumbi Juma dk 33, Thomas Kipese dk. 82, Sanifu Lazaro dk. 89
Simba: Edward Chumila dk. 58.

OKTOBA 9, 1991
Yanga v Simba
2-0
WAFUNGAJI: Athumani China dk. 3, Abubakar Salum 'Sure Boy' dk. 54.

OKTOBA 27, 1992
Simba v Yanga
1-0
MFUNGAJI: Damian Morisho Kimti.

OKTOBA 4, 1995
Simba v Yanga
2-1
WAFUNGAJI:
Simba: Said Mwamba 'Kizota' dk. 70, Mchunga Bakari dk. 79,
Yanga: Mohamed Hussein ÔMmachingaŐ dk. 40.

OKTOBA 23, 1996
Yanga v Simba
1-0
MFUNGAJI: Mohamed Hussein 'Mmachinga' dk. 46



SEKILOJO CHAMBUA AKISHANGILIA BAO DHIDI YA SIMBA..
OKTOBA 11, 1997
Yanga v Simba
1-1
WAFUNGAJI:
Yanga: Sekilojo Chambua dk. 52
Simba: George Masatu dk. 89
(Mechi hii ilichezwa Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya)

OKTOBA 29, 2006
Simba v Yanga
0-0

OKTOBA 24, 2007:
Simba Vs Yanga
1-0
Mfungaji: Ulimboka Mwakingwe
(Mechi hii ilichezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro)

OKT 26, 2008
Yanga Vs Simba
1-0
MFUNGAJI: Ben Mwalala dk15.
(Mechi hii ilichezwa Uwanja mpya wa Taifa, Dar es Salaam)

OKTOBA 31, 2009
Simba Vs Yanga
1-0
MFUNGAJI: Mussa Hassan Mgosi dk 26
(Mechi hii ilichezwa Uwanja mpya wa Taifa, Dar es Salaam)

OKTOBA 16, 2010:
Yanga Vs Simba
1-0
MFUNGAJI: Jerry Tegete dk 70

4 comments:

  1. Kwa takwimu hii,inaonesha kuwa Simba alikuwa kidogo anamsumbua Yanga,
    Sasa issue ni kesho kutwa.. dah! bila kumung'unya maneno,matokeo yako wazi kuwa Simba lazima amfunge Yanga. Hii ni kwa sababu ya 'combination'kali naweza kusema ya Simba hasa mbele, ukiangalia Felix Sunzu,Haruna Moshi Boban,Emmanuel Arnold Okwi mziki utakuwa mzito kwa Yanga na rahisi kwa Simba.
    Ukija kati kati utakuta safu ya Santo,Uhuru Seleman,Mwinyi Kazimoto[kama atacheza],basi Yanga watalala mapema, hii ni kwa 7bu Yanga wana viungo wenye nguvu kuliko akili ya mpira'stamina'na tactics kama za Simba!
    So sitashangaa kuona Simba ikifanya ya Man City hata ikifanya kwa nusu yake yaani 3-1. So kama ni 'kubett' mi tayari mzigo nauweka SIMBA SC.
    Sio ushabiki,bali ndo mtazamo wangu.

    ReplyDelete
  2. shukran sana shafiiii mungu akubarik home history ni dhahabu!

    ReplyDelete
  3. shukran sana shafii

    ReplyDelete
  4. Mpira hauhukumiwi kwa kuangalia historia mpira sikuzote ni makosa na jinsi ya kuyatumia makosa hayo wala si kuchagua siku tarehe saa na majira alafu ukapata matokeo huo ni udhaifu wa kufikiri kisayansi kwa matokeo haya ya ushindi wa yanga unasemaje mheshimiwa?

    ReplyDelete