Search This Blog

Friday, August 12, 2011

VODACOM YATOA VIFAA LIGI KUU KWA TIMU SHIRIKI

MKUU WA UDHAMINI WA KAMPUNI YA VODACOM AKIONGEA WAKATI WA HAFLA HIYO ILIYOFANYIKA KATIKA HOTEL YA KILIMANJARO KEMPINSKI.

MAKAMU WA PILI WA RAISI WA TFF ATHUMAN NYAMLANI AKIZUNGUMZA KATIKA HAFLA YA MAKABIDHIANO YA VIFAA VITAKAVYOTUMIKA KATIKA LIGI KUU YA MSIMU UJAO.

MKUU WA UDHAMINI WA KAMPUNI YA VODACOM AKIKABIDHI BAADHI YA VIFAA VITAKAVYOTUMIWA NA WAAMUZI KATIKA LIGI KUU YA TZ BARA MSIMU UJAO KWA MAKAMU WA PILI WA RAISI WA TFF


WAWAKILISHI WA UONGOZI WA AZAM FC NAO WAKIPIGA PICHA KUONYESHA JEZI ZAO WALIZOPEWA NA VODACOM

UKAWADIA WAKATI WA WEKUNDU WA MSIMBAZI NAO KUONYESHA UZI WAO WALIOPEWA NA MDHAMINI MKUU WA LIGI VODACOM.

KUTOKA BUKOBA MPAKA KEMPINSKI, KAGERA SUGAR NAO WAKING'ARA NA UZI WAO

VIONGOZI WA TIMU ILIYORUDI LIGI KUU KUU MSIMU HUU MORO UNITED NAO WALIKABIDHIWA JEZI ZAO.
WATOTO WA ZAMUNDA A.K.A AFRICAN LYON NAO WAKIONYESHA MFANO WA VIFAA WALIVYOKABIDHIWA NA VODACOM


VIONGOZI WA COAST UNION YA TANGA WAKIPIGA PICHA KUONYESHA JEZI ZITAKAZOTUMIWA NA TIMU KATIKA LIGI KUU YA MSIMU UJAO.


1 comment:

  1. Jezi walizotangaza azam fc kuzitumia mbona hazifanani kabisa na walizopewa.

    Haipendezi kila timu kuvaa aina moja ya jezi tofauti ikiwa kwenye rangi. Na ingiwa na mashaka kama vilabu vimehusishwa katika suala hili.Jezi walizotangaza azam fc kuzitumia mbona hazifanani kabisa na walizopewa.

    Haipendezi kila timu kuvaa aina moja ya jezi tofauti ikiwa kwenye rangi. Na ingiwa na mashaka kama vilabu vimehusishwa katika suala hili.

    ReplyDelete