Kungo nyota wa klabu ya Simba ya Dar es salaam Mwinyi Kazimoto ambae aliumia mguu kwenye mchezo wa fainali ya kombe la Kagame hivi karibuni, hatimae hivi leo amefunguliwa Plasta gumu(POP), kwa mujibu wa taarifa za kitabibu toka benchi la utabibu la klabu ya Simba, Mwinyi anatarajiwa kuanza mazoezi mepesi kuanzia juma lijalo.
No comments:
Post a Comment