Search This Blog

Friday, August 26, 2011

NANI ALIKUWA MWENYEJI WA MCHEZO HUU ?

Aisee wadau hivi hii mechi ilichezwa kwenye nchi gani ?
Ebu tazameni 'BRANDING' ya uwanja kwa umakini maana muonekano wa uwanja huu umenifanya mwenzenu nishindwe kuelewa nani alikuwa mwenyeji siku ile ya mchezo wa TANZANIA na BRAZIL, Msaada tafadhali kwenye tuta!!


,


3 comments:

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. Shaffih, hapo ni Tanzania ndiyo mwenyeji but game ilikuwa branded sehemu mbalimbali nadhani hayo yalikuwa makubaliano ya wakala wa mechi hiyo na TFF, Brazil bingwa wa dunia mara 5 na aina ya mechi ilikuwa rahisi kwao kuja kuweka matangazo ilimradi wajitangaze Duniani .... Lakini kwa upelelezi wangu mdogo nilioufanya nimegundua TFF walinufaika kidogo sana kutokana na kuwa washamba na aina ya utangazaji ule... tukitaka tunufaike na utangazaji kama ule hatuna budi kuwa na watu spesho kwa ajili ya mambo ya advertisement , bado sijaona umuhimu na uwajibikaji wa Jimmy Kabwe katika cheo chake cha Events na masoko....ded sehemu mbalimbali nadhani hayo yalikuwa makubaliano ya wakala wa mechi hiyo na TFF, Brazil bingwa wa dunia mara 5 na aina ya mechi ilikuwa rahisi kwao kuja kuweka matangazo ilimradi wajitangaze Duniani .... Lakini kwa upelelezi wangu mdogo nilioufanya nimegundua TFF walinufaika kidogo sana kutokana na kuwa washamba na aina ya utangazaji ule... tukitaka tunufaike na utangazaji kama ule hatuna budi kuwa na watu spesho kwa ajili ya mambo ya advertisement , bado sijaona umuhimu na uwajibikaji wa Jimmy Kabwe katika cheo chake cha Events na masoko....

    ReplyDelete
  3. Mechi zote za Selecao kwa kawaida huwa zimekwisha nunuliwa na Tv yao ya Taifa kwa mechi zote wanazoombwa. isipokuwa zile ambazo wao wameomba kwa nchi nyingine. Wala sio ajabu katika mambo ya marketing.

    ReplyDelete