Search This Blog

Tuesday, July 12, 2011

RAMOS NA PEPE WAONGEZA MKATABA MADRID


Real Madrid wamethibitisha kuwa wachezaji wao Sergio Ramos na Pepe wamesaini mkataba wa kuendelea kuwepo Santiago Bernabeu.

Kupitia mtandao rasmi wa klabu hiyo kuna taarifa isemayo: “Sergio Ramos na Pepe wameongeza mikataba yao na Real Madrid C.F mpaka misimu ya 2016-17 na 2015-16.”

Ramos, 25, amesaini mkataba wa miaka 4 mwezi December uliopita ambao utamfanya awepo Bernabeu mpaka mwaka 2016, wakati Pepe nae ameongeza miaka 4 mpaka 2017 huku akipata £3.5 million per year.

No comments:

Post a Comment