Search This Blog

Friday, July 22, 2011

OFFICIAL: BARCA YATHIBITISHA BOJAN KUJIUNGA NA ROMA


Barcelona leo wamethibitisha kukubaliana na AS Roma kumuuza winga wake Bojan Krkic kwa dili lenye thamani euro million 12.
Bojan ambaye ataichezea klabu hiyo ya Italia hadi mwishoni mwa msimu wa 2012-13, na atarudi Barca kwa gharama ya euro million 13, na kama Roma watapenda kuendelea kuwa nae basi itawabidi walipe kwa jumla euro million 40.


No comments:

Post a Comment