Masaa 48 baada ya kupata mtoto wa kike, David Beckham na Victoria Beckham wamesema Harper Seven Beckham ndiye mtoto wao mwisho.
Beckham na Victoria tayari wana watoto wengine watatu, Brooklyn, 12, Romeo, 8, na Cruz mwenye miaka 6.Hivyo masaa kadhaa juzi Jumapili in Los Angeles baada ya kujifungua Victoria alimwambia mumewe kuwa familia yao imekamilika hivyo hatopenda tena kupata taabu za ujauzito ambazo zilimpa shida sana kipindi hiki, na mumewe akamkubalia.
Mtoto mpya wa “The Beckhams” anaaminika amepewa jina la mwigizaji wa Disney ambaye ndugu zake wa 3 wa kiume wanamzimia ile mbaya – aitwaye Harper Flinkle.And the second name “Seven” lilichaguliwa kwa kuwa mtoto huyo amezaliwa ndani ya mwezi wa saba, siku ya saba ya wiki saa 7.55pm akiwa na uzito wa 7lbs, pia ni namba ya bahati ya Beckham katika soka akiwa nahodha wa England na ndani ya kikosi cha Manchester United alikua akivaa jezi namba 7.
other possible reasons why the Beckhams landed on the digit. The obvious one, of course would be that it's the number David wore on his football jersey back when he played for Manchester United and he's got a tattoo of a big Roman Numeral "VII" on his right arm.
ReplyDeleteWhile on the subject of tattoos, perhaps the well-covered connoisseur of body art was paying tribute to a noted Edmonton tattoo artist named Seven Beckham (no relation).
Then again, there's the fact that baby Harper weighed 7 lbs., 10 oz. at birth and that, football aside, the number 7 has frequently popped up in Victoria's Spice Girls past.
Their 1997 movie, Spiceworld, earned $77 million worldwide and their first No. 1 hit, Wannabe, reached the top of the charts on 7/96.
You could also get into the fact that Wannabe contains exactly seven letters, but maybe we're pushing it a bit.
And, let's not forget, this is from a family whose other children are named Brooklyn, Romeo and Cruz. Whatever the real significance of the lucky 7, why do we suspect a future L.A. Galaxy game will have some sort of special, goal-scoring promotion involving a free Slurpee from 7-Eleven? Or a free bottle of 7UP? Or even 7% off your next pair of 7 For All Mankind premium jeans?