Search This Blog

Tuesday, June 21, 2011

PORTO YATHIBITISHA KUONDOKA KWA VILLA-BOAS


Klabu ya FC Porto ya Ureno imethibitisha kuondoka kwa kocha wao aliyewapa mafanikio makubwa msimu uliopita Andre Villas-Boas.
"Tunathibitisha kuwa tumepokea fax kutoka kwa Andre nia yake ya kujiuzulu nafasi yake ya ukocha wa kuifundisha klabu yetu."
Hatua hii inathibitisha kuwa kocha huyo ambaye jana usiku alikubaliana mahitaji yake binafsi na Roman Abramovich kuwa sasa ndiye kocha mpya wa klabu ya Chelsea "The Blues'.

No comments:

Post a Comment