Search This Blog

Tuesday, June 21, 2011

ON THIS DAY: WOZA 2010 !

JEZI NAMBA 8 NI XAVI NA HAPA UNAONYESHWA NAMNA ALIVYOKUA ANAICHEZESHA TIMU NZIMA YA SPAIN SIKU WALIYOFUNGWA NA USWIZI

669 ni Idadi ya pasi zilizopigwa na Xavi Hernandez katika mashindano ya WOZA 2010 kwa ujumla.

Tarehe kama ya leo mwaka jana kwenye WOZA 2010 kiungo Xavi alimpatia jumla ya pasi 5 mshambuliaji David Villa aliyefunga mabao mawili na kuiongoza Spain kuifunga Honduras mabao 2-0.

No comments:

Post a Comment