“Kuna vitu vingi vinanijia ndani ya kichwa changu muda huu.Nawashukuru wote kwa mapenzi mlionionyesha kwa miaka yote.Tumeshinda vitu vingi na tumehuzunika pamoja lakini siku zote tumekuwa tunatabasamu pamojal.” –ni maneno ya Martin Palermo mchezaji wa kimataifa wa Argentina na timu ya Boca Juniors akiwaaga mashabiki waliojazana katika uwanja wa Bombanera baada ya kuamua kustaafu huku akitokwa na machozi.
No comments:
Post a Comment