MATCH UPDATE: DK 89 ALUKO OMATSONE ANAIPATIA NIGERIA GOLI LA 3
MATCH UPDATE: DK 57 EKIGHP EHIOSUN ANAWAPATIA NIGERIA BAO LA PILI
MATCH UPDATE: MPIRA HALF TIME NIGERIA 1 - 0 TANZANIA
MATCH UPDATES DK 3:Nigeria wanapata bao lililofungwa na Ekigho Ehiosun kutokana na krosi ya wingi ya kulia
MATCH UPDATES DK 15: Kipa wa Tanzania Seif Juma anaumia nafasi yake inachukuliwa na Jackson Wandwi
Kick Off: 90
Uwanja: Samuel Ogbemudia, Benini City
Tanzania: Seif Juma, 2: Juma Abdul, 3: Abuu Ubwa, 4: Obadia Mangusa, 5: Shomari Kapombe, 6: Jabir Aziz, 7: Jamal Mnyate, 8: Mohamed Soud, 9: Thomas Ulimwengu, 10: Mbwana Samatta
[Image]NIGERIA FIRST ELEVEN1: Ajiboye Muniru, 2: Edet Ibok, 3:Orelesi Nurudeen, 4: Nwankwo Obiora, 5:Haruna Lukman, 6: Ekigho Ehiosub, 7: Aluko Omatsone, 8: Suswam Terna, 9: Oseni Bolaji, 10: Udoh Kingsley 11: Ahmed Musa.
Tuwaombee vijana wasitolewe maana huo moto wa Nigeria si mdogo
ReplyDeleteDaaaah hii inakatisha tamaa, timu zetu zote, simba na u 23 nje.Nawashuri wakirudi wajipange upya kwa michezo mingine, kweli timu zetu ziajiandaa mdomoni au kwa maneno na si kivitendo, hii iangaliwe upya hasa katika kuwa na academy ili tupate vijana wanaocheza kwa ushindani zaidi,la sinyo tutaendelea kuwa vichwa vya wenda wazimu kama mzee ruksa alivyowahi kusema.
ReplyDelete