Mshambulia wa klabu ya Chelsea ya Uingerza Solomon Kalou amesema wachezaji wote walikuwa na mapenzi na kocha wao aliyetimuliwa jana baada ya msimu wa ligi kumalizika.
Carlo Ancelotti ambaye alifukuzwa saa moja baada ya mchezo wa mwisho wa ligi dhidi ya Everton.
Salomon Kalou ambaye last week aligoma kuelezea kama angependa Ancelotti aendelee kuwa kocha wa Chelsea ama la, leo amesisitiza wachezaji wote walimpenda kocha wao, walikuwa wakiamini kuwa ataendelea kuwa nao msimu ujao
No comments:
Post a Comment