EPL LOGO
Hatimaye ligi kuu ya England imemalizika jana huku Man United wakifanikiwa kuchukua ubingwa wao 19 wa EPL na kuwaacha Chelsea, Man City na Arsenal wakishika nafasi nyingine 3 za juu.Timu hizo zote za juu zimefanikiwa kupata nafasi ya kushiriki Ligi ya mabingwa wa ulaya isipokuwa Arsenal wataanzia katika hatua za mwanzo kabisa "play off".
Totenham ambao wameshika nafasi ya 5 wamefanikiwa kujipatia tiketi ya Kombe la ligi ya Europa.Blackpool, West Ham na Birmigham wao wameshuka daraja na watacheza ligi ya daraja la kwanza msimu ujao.Carlos Tevez na Barbatov wamefungana katika tuzo za mfungaji hivyo watashare tuzo hiyo.
Joe Hart of Manchester City alipata 18 clean sheets tmsimu na kuchukua tuzo ya Barclays Golden Glove award, na pia ligi ya msimu huu imevuja rekodi baada ya magoli yaliyofungwa kufikia 1,063 na kuizidi rekodi ya magoli 1,060 yaliyofungwa katika msimu wa ligi wa 1999/2000
TAKWIMU MBALIMBALI ZA EPL
A.TOP SCORER
1 Dimitar Berbatov Man Utd 21
2 Carlos Tevez Manchester City 21
3 Robin van Persie Arsenal 18
4 Darren Bent Aston Villa 17
5 Peter Odemwingie WBA 15
6 Dudley Campbell Blackpool 13
7 Andrew Carroll Liverpool 13
8 Javier Hernandez Man Utd 13
9 Dirk Kuyt Liverpool 13
10 Florent Malouda Chelsea 13
B. WALIOCHEZA MECHI NYINGI
1 Leighton Baines Everton 38
2 Stephen Carr Birmingham 38
3 Petr Cech Chelsea 38
4 Ashley Cole Chelsea 38
5 Kevin Davies Bolton 38
6 Sylvain Distin Everton 38
7 Stewart Downing Aston Villa 38
8 Ian Evatt Blackpool 38
9 Ben Foster Birmingham 38
10 Brad Friedel Aston Villa 38
11 Joe Hart Manchester City 38
C. WALIOCHEZA FAULO NYINGI
1: Kevin Davies -Bolton 115
2: Cheik Tiote - Newcastle 75
3: Charlie Adam - Blackpool 68
4: Leiva Lucas - Liverpool 62
5: Alex Song - Arsenal 62
6: Clint Dempsey - Fulham 59
7: Tim Cahill - Everton 58
8: Didier Drogba - Chelsea 56
9: Fernando Torres- Chelsea 56
10: Karl Henry-Wolves 53
D. WALIOTOA PASI NYINGI ZA MAGOLI (ASSIST)
1: Luis Nani Man Utd 18
2: Didier Drogba Chelsea 15
3: Francesc Fabregas Arsenal 14
4: Andrey Arshavin Arsenal 11
5: Leighton Baines Everton 11
6: Chris Brunt WBA 11
7: Wayne Rooney Man Utd 11
8: Ashley Young Aston Villa 11
9: Charlie Adam Blackpool 9
10: Joey Barton Newcastle 9
E. TIMU AMBAYO IMEPATA CLEAN SHEETS NYINGI
1: Manchester City 18
2: Man Utd 15
3: Chelsea 15
4: Fulham 14
5: Liverpool 14
6: Sunderland 13
7: Arsenal 13
8: Birmingham 9
9: Everton 9
10: Newcastle 9
F: TIMU 10 ZILIZOFUNGA MAGOLI MENGI
1: Man Utd 78
2: Arsenal 72
3: Chelsea 69
4: Manchester City 60
5: Liverpool 59
6: Newcastle 56
7: WBA 56
8: Blackpool 55
9: Tottenham 55
10: Bolton 52
G: TIMU 10 ZILIZOLUHUSU MAGOLI MENGI
1: Blackpool 78
2: WBA 71
3: West Ham Utd 70
4: Wolves 66
5: Wigan Athletic 61
6: Aston Villa 59
7: Blackburn 59
8: Birmingham 58
9: Newcastle 57
10: Bolton 56
PERFOMANCE
Highest Gate 75,486 Manchester United v Bolton Wanderers
Lowest Gate 14,042 Wigan Athletic v Wolverhampton Wanderers
Average Attendance 35,284
Aggregate Attendance 13,372,787
Biggest Home Win Manchester United 7-1 Blackburn Rovers, Arsenal 6-0 Blackpool, Chelsea 6-0 West Bromwich Albion, Newcastle United 6-0 Aston Villa
Biggest Away Win Wigan Athletic 0-6 Chelsea
Highest Team Score 7: Manchester United 7-1 Blackburn Rovers
Highest Aggregate Score 8: Manchester United 7-1 Blackburn Rovers, Everton 5-3 Blackpool, Newcastle United 4-4 Arsenal
Current Win Sequence 3 games: Manchester City
Current Unbeaten Sequence 4 games: Blackburn Rovers, Wigan Athletic
Current Losing Sequence 5 games: Bolton Wanderers
Current Winless Sequence 9 games: West Ham United
Longest Win Sequence 5 games: Chelsea
Longest Unbeaten Sequence 24 games: Manchester United
Longest Losing Sequence 5 games: Blackpool, Bolton Wanderers, West Bromwich Albion, West Ham United
Longest Winless Sequence 10 games: Blackburn Rovers
TIMU YENYE NIDHAMU-BLACKPOOL
MAKOCHA WALIOFUKUZWA
1: ROY HUDGSON
2: AVRAM GRANT
3: CARLO ANCELLOTI
No comments:
Post a Comment