Search This Blog

Tuesday, May 17, 2011

SERGIO BUSQUET AFUTIWA ADHABU SASA KUIVA UNITED WEMBLEY.



Kiungo wa barcelona sergio busquets (22) atacheza mechi ya ligi ya mabingwa ulaya dhidi ya Manchester united wiki ijayo baada ya kufutiwa adhabu na UEFA shitaka la ubaguzi wa rangi baada ya kumuita beki wa real madrid,marcelo nyani ambapo mahasimu wao hao waliweka video kwenye tovuti yao inayodaiwa kumuonyesha kiungo huyo akimuita marcelo "nyani" lakini UEFA imeona kwamba hakufanya kosa hilo.

No comments:

Post a Comment