Sao Paulo striker Luis Fabiano amefanyiwa wa misuli ya goti na anatarajiwa kukaa nje ya dimba kwa takribani mwezi mmoja.
Madktari wa Sao Paulo wamesema upasuaji huo uliofanyika Ijumaa Usiku wa kurekebisha mishipa uliofanikiwa and former Sevilla striker atapona ndani wiki chache zijazo.
The 30-year-old Fabiano amekuwa aakiumia tangu alipojiunga na Sao Paulo mwezi march kwa gharama Euro million 7.6.
mpe pole zake...!
ReplyDelete