Search This Blog

Wednesday, May 25, 2011

CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI TASWA.



Chama Cha waandishi wa habari za Michezo Tanzania TASWA kimeandaa Mdahalo wa maendeleo ya michezo utakaofanyika Julai 16 mwaka huu jijini Dar es salaam.

Amir Mhando katibu wa TASWA amesema kwamba lengo la Mdahalo huo ni kuwakutanisha wadau wa michezo zaidi ya mia 5 kwa ajili ya kujadili maendeleo ya michezo hapa nchini.

No comments:

Post a Comment