Search This Blog

Wednesday, May 25, 2011

AZAM YASUBIRI TAARIFA KUTOKA TFF KWAAJILI YA MICHUANO YA CECAFA.



Azam FC inasubiri taarifa toka TFF kujua kama tutatakiwa kushiriki mashindano ya CECAFA Kagame Cup, Tukipewa Taarifa tutajiandaa kikamilifu na mashindano na tuna uwezo wa kulibakisha kombe kutokana na usajili tulioufanya. Kwa mujibu wa sheria za mashindano ya Kagame Cup, nchi mwenyeji huwakilishwa na timu 2. kutokana na adhabu inayoikabili Yanga, Huwenda tukaewa nafasi ya kushiriki.

No comments:

Post a Comment