Taarifa nilizozipata hivi punde baada ya viongozi wa Yanga kugoma kumuuza kiungo Haruna Niyonzima kwa klabu ya Al Merrekh,viongozi wa timu hiyo waliopo hapa nchini sasa wamegeuzia nguvu zao kwa mshambuliaji Mrisho Ngassa.
Endelea kufuatilia Blog hii kwa ajili ya muendelezo wa stori.
Search This Blog
Wednesday, December 5, 2012
Tuesday, December 4, 2012
UGANDA KUIKABILI KILI STARS KWENYE NUSU FAINALI.
Wachezaji wa timu ya Uganda wakishangilia goli lililofungwa kipindi cha kwanza wakati wa mchezo wa robo fainali ya nne dhidi ya Ethiopia ya michuano ya Cecafa Challenge uliofanyika katika Uwanja wa Nelson Mandela, Nambole nchini Uganda.Uganda imefanikiwa kuingia kwenye nusu fainali baada ya kuifunga Ethiopia mabao 2:0
Mshambuliaji wa timu ya Uganda Robert ssentongo akiambaa na mpira wakati wa mchezo wa robo fainali ya nne ya michano ya Cecafa Challenge dhidi ya timu ya Ethiopia uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela, Nambole nchini Uganda.
Ssentongo ndiye aliifungia Uganda bao la pili na la ushindi.
Mshambuliaji wa timu ya Uganda, Hamis Kiiza akiruka kiatu cha beki wa timu ya Ethiopia wakati wa mchezo wa robo Fainali ya nne ya michuano ya Cecafa Challenge uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela, Nambole nchini Uganda.

KENYA ILIVYOINGIA KWENYE NUSU FAINALI YA CECAFA TUSKER CHALLENGE CUP.
Wachezaji wa timu ya Kenya na Malawi wakiwania mpiara wakati wa mchezo wa nusu fainali ya mchezo wa Cecafa Challenge 2012 uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela uliopo Nambole nchini Uganda jana. Kenya ilishinda 1-0 na kutinga nusu fainali.
Mshambuliaji wa timu ya Malawi akiambaa na mpira wakati wa mchezo wa nusu fainali ya tatu ya michuano ya Cecafa Challenge uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela uliopo Nambole nchini Uganda jana. Kenya ilishinda 1-0 na kutinga nusu fainali.
Mshambuliaji wa timu ya Malawi Rodrick Goman akijaribu kumpita beki wa timu ya Kenya David Odhiambo wakati wa mchezo wa nusu fainali ya tatu ya michuano ya Cecafa Challenge 2012 uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela uliopo Nambole nchini uaganda jana. Kenya ilishinda 1-0 na kutinga nusu fainali.
Wachezaji w Malawi na Kenya wakiwania mpira wakati wa mchezo wa nusu fainali ya tatu ya michuano ya Cecafa Challenge 2012 uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela uliopo Nambole nchini uaganda jana. Kenya ilishinda 1-0 na kutinga nusu fainali.

SAMATA SAMAGOAL: ATAJWA KUWA MFALME WA MABAO TP MAZEMBE
Klabu ya TP Mazembe leo imetoa orodha ya wafungaji bora wa klabu hiyo. Mazembe ambao msimu wa 2012 wamefunga jumla ya mabao 112.
Katika magoli 112, Mtanzania Ally Mbwana Samata aka Samagoal amemaliza akiwa mfungaji bora kwa kufunga mbao 23 katika mashindano yote, mabao 6 akiyafunga katika mashindano ya klabu bingwa ya Afrika ambapo alishika nafasi ya pili katika orodha ya wafungaji bora wa msimu wa mashindano hayo.
Mtanzania mwingine Thomas Ulimwengu nae amefunga mabao 9 katika msimu mzima sawa na Given Singuluma.
Hii ndio orodha kamili iliyotolewa na TP Mazembe
1. Samatta 23 goals, 2. MPUTU 16, 3. LUNGU 13, 4. Singuluma Ulimwengu 9 and 6. KANDA and TRAORE 6 SALAKIAKU 5, 8. Bokanga and Kalaba 4, 10.LUSADISU, and Sinkala TUSILU 3, 13. Ilongo, KASONGO, NKULUKUTA, Kabangu 2, 17. HICHANI, KASUSULA, KANTENG, LOFO Sunzu and sundry.
Katika ligi ya mabingwa wa Afrika listi ya wanaongoza kwa mabao ipo kama ifuatavyo:
1. Emmanuel CLOTTEY (Berekum Chelsea) 12 goals (Penati 3)
2. Aly Samatta 6 (0 pen.) , Treasury MPUTU 6 goals (1 pen) and Mohamed Al Ahly Aboutreika) 6 goals (2 pen)
5. Mr. Geddo (Al Ahly) Y. Ndjeng and Y. AZUKA (Sunshine Stars) 5 goals each,
8. Mr. El Tahir (Al Hilal), Y. Msakni, K. ALI HDJI (ASO Chlef) and RASCA (Recreativo Libolo) 4

ORODHA YA WAFUNGAJI BORA CHALLENJI: NGASSA NA BOCCO WAKABANA KOO WAKIWAFUNIKA MASTAA WENGINE
Washambuliaji wa timu ya Tanzania bara Mrisho Ngassa na John Boco ndio wanaongoza kwa kufunga mbao mengi katika michuano ya CECAFA Challenge Cup yanayoendelea huko nchini Uganda.
Washambuliaji hao wote wamefunga mabao matano.
LISTI KAMILI
John Bocco Tanzania 5
Mrisho
Ngassa Tanzania 5
Brian Umony Uganda 3
Suleiman
Ndikumana Burundi 3
Chris
Nduwarugira Burundi 3
Khamis Mcha Zanzibar 2
David
Ochieng Kenya 2
AVRAM GRANT TENA!!! HAPANA - CHELSEA YAKANUSHA KUMRUDISHA GRANT DARAJANI
Chelsea imekanusha madai kuwa kocha wake wa zamani Avram Grant, anarejea tena kumsaidi kocha wa sasa Rafael Benitez.
Benitez hajashinda mechi hata moja tangu aliposajiliwa wiki chache zilizopita, baada ya Roberto Di matteo kufutwa kazi.Magazetti kadhaa nchini Uingereza zimeripoti kuwa, Grant ambaye aliongoza Chelsea hadi fainali ya kombe la klabu bingwa barani Ulaya mwaka wa 2008, atasajiliwa kama mmoja wa washauri wa kiufundi.
''Hakuna ukweli wowote kuhusu madai kuwa Avrant Grant atarejea tena katika klabu ya Chelsea'' alisema msemaji wa klabu hiyo.
Mashabiki wa Chelsea walighadhabishwa sana na uamuzi wa wasimamizi wa klabu hiyo wa kumfuta kazi Di Matteo na mahala pake kuchukuliwa na kocha wa zamani wa Liverpool, Rafa Benitez.
Benitez kwa sasa anakabiliwa na shinikizo kubwa, kufuatia kipigo cha magoli kwa matatu kwa moja walichopewa na klabu ya West Ham siku ya Jumamosi.
Katika mechi zingine Chelsea ilitoka sare ya kutofungana bao lolote na Manchester Citu na Fulham.
Grant, 57, anaenziwa sana na mmiliki wa klabu hiyo Roman Abramovich na amekuwa kocha huru tangu alipojiuzulu kama kocha wa klabu ya Partizan Belgrade mwmezi Mei mwaka huu.
Grant aliongoza Chelsea, kuanzia Septemba mwaka wa 2007 bada ya Jose Mourinho kuondoka licha ya kuongoza Chelsea kushinda ligi kuu ya Premier kwa miaka miwili mfululizo, lakini alifutwa kazi baada ya Chelsea kushindwa kwenye fainali za kombe la mataifa bingwa barani ulaya na Manchester United kupitia mikwaju ya Penalti.
MKURUGENZI WA CLOUDS FM JOSEPH KUSSAGA AMUALIKA JP MPIANA CHAKULA CHA USIKU ESCAPE 2
Pichani kulia ni Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akiwakaribisha wageni wake,akiwemo mwanamuziki nyota wa dansi ndani ya kundi la Wenge BCBG,kutoka nchini DRC-Congo,JB Mpiana (pichani kati) kwenye hafla fupi ya chakula cha usiku iliyofanyika kwenye kiota cha maraha cha Escape 2,kilichopo Kunduchi jijini Dar,hafla hiyo pia ni sehemu ya muendelezo wa shamra shamra za maadhimisho ya miaka 13 ya Clouds FM tangu kuanzishwa kwake hapa nchini.
Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akiwakaribisha wageni wake na kuzungumza nao machache na kuhakikisha wanapatiwa chochote kitu.
Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akimtambulisha mke wake Johayna Kusaga (ambaye ndiye Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Prime Time Promotions Ltd) kwa Mwanamuzik JB Mpiana na kwa wageni wengine waliofika kwenye hafla hiyo ya chakula cha pamoja.
Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akimkaribisha mgeni wake JB Mpiana kwenye chakula
Pichani ni baadhi ya Washiriki wa shindano la Miss East Afrika 2012 ambao pia waliakwa kwenye chakula cha pamoja ndani ya kiota cha maraha cha Escape 2,kilichopo Kunduchi jijini dar.
Washiriki wa shindano la Miss East Afrika wakiwa katika picha ya pamoja
Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Cassim akitumbuiza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali
Boniventure Kilosa a.k.a Dj Venture alikamata mashine na kuangusha ngoma kali zikiwemo za Kinaija,abazo wageni wengi walionekana kuburudishwa nazo vilivyo.
Washiriki wa shindano la Miss East Afrika 2012 wakijiachia vilivyo kwa mikato ya ngoma iliokuwa ikiangushwa na Dj Venture.

Joseph Kusaga a.k.a Boss JOe akizungumza na baadhi ya wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,Ay na Mwana FA ndani ya hafla fupi ya chakula cha usiku kulichoandaliwa kwa ajili ya wageni.

Wadau nao walikuwepo.Mdau wa MJ FM pamoja na Andrew Kusaga wakishoo love.
![]() |
| Wafanyakazi mbalimbali kutoka Clouds Media Group walikuwepo pia |
Kuserebuka kama hivi pia kulikuwepo
.

Mtangazaji wa Clouds TV,Ben Kinyaiya akifanya mahojiano mafupi na mwanamuziki mkongwe wa dansi,Ndandaa Kossovo.

Dj Venture na mshkaji wake wakivuta pumzi.

Mmoja wa Wakurugenzi wa Prime Time promotios,pichani kulia Godfrey Kusaga akibadilishana mawazo na Mtangazaji mahiri wa kipindi cha Jahazi cha Clouds FM,Ephrahim Kibonde huku wakiangusha moja moja.

Mazungumzo ya hapa na pale pia yalikuwepo.
KALI YA LEO!
NSA JOB AKANUSHA KUTELEKEZWA AIRPORT
Hongera mdogo wang DAVID MWANTIKA a.k.a ISSA kwa kuhamia Timu ya Azam fc ukitokea Tz Prisons.
Natambua ulkuwa na wakati mgumu kufikiria namna ya kuandika barua ya kuacha kazi kwa muajiri wako Jeshi la Magereza nchini.
Pia umepiga picha ya juu ya maisha yako ya baadae na kuona una tija kwa maelewano yako binafsi na Azam.
...
Mpira wa sasa ni biashara tosha pia uwezo wako ndani ya Uwanja nautambua na cjaona kama kuna Beki ambaye atakuweka benchi pale Azam.
Nategemea sasa kukuona kwenye Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars.
Kama tulivyoongea kwenye cm na kuniaga kama bro wako,fedha ulizopewa ni nyingi.
Hivyo ucwe na papara nazo au ukafanyia hanasa then mwisho wa cku ukajuta.
Pia mshahara wako wa mwezi umeongezeka mara dufu tofauti na wa Jeshi la Magereza.
Ww sio wa Kwanza kuondoka Tz Prisons kwa mahela mengi lakini unatakiwa kujiuliza wengine wapo wapi zaidi ya kugeuka wazee wa mizinga.
Nakutakia kila la heri Jembe lang na nitakumiss sana!!

Ndugu zangu,washabiki wangu,pmja wanaonisapoti yani nimeuzunika sana juu ya hbr nimetelekzwa airport na timu yangu,kwanza napanda kuwaomba msamaha washabiki wa coast na viongozi wake kwa kujisikia vbya,swala ili lilikua misunderstanding juu ya ratiba yangu ya kurudi,ndomana awakuwepo airport bt wamenisapoti kuanzia siku niliyoumia mpaka leo ii na wapo bega kwa bega na mie!!!thax alot
Monday, December 3, 2012
KILIMANJARO STARS KUCHEZA NUSU FAINALI ALHAMISI NA MSHINDI KATI YA UGANDA VS ETHIOPIA
Tanzania
Bara (Kilimanjaro Stars) itacheza nusu fainali ya michuano ya Kombe la
Chalenji 2012 Alhamisi (Desemba 6 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Mandela
ulioko Namboole jijini Kampala, Uganda.
Kilimanjaro
Stars ambayo itacheza mechi hiyo na mshindi wa robo fainali ya kesho
(Desemba 4 mwaka huu) kati ya wenyeji Uganda na Ethiopia imeingia hatua
hiyo baada ya kuitoa Rwanda. Mechi imechezwa leo (Desemba 3 mwaka huu)
Uwanja wa KCC ulioko Lugogo, Kampala.
Mabao
ya Amri Kiemba dakika ya 33 na John Bocco dakika ya 53 ndiyo
yaliyoifanya Kilimanjaro Stars itinge nusu fainali na kuifungisha virago
Rwanda (Amavubi) inayofundishwa na Milutin ‘Micho’ Sredojovic kutoka
Serbia.
Vijana
wa Kilimanjaro Stars wanaonolewa na Kim Poulsen walitawala pambano
hilo, hasa kipindi cha kwanza kwa pasi fupi fupi. Kilimanjaro Stars
imefungwa bao moja katika mechi nne ilizocheza tangu michuano hiyo
ilipoanza Novemba 24 mwaka huu jijini Kampala.
Kilimanjaro
Stars ambayo katika michuano hiyo iliyofanyika Dar es Salaam mwaka jana
iliishia hatua ya nusu fainali iliwakilishwa na; Juma Kaseja, Erasto
Nyoni, Amir Maftah, Shomari Kapombe, Kelvin Yondani, Amri Kiemba, Salum
Abubakar/Athuman Idd, Frank Domayo, Mwinyi Kazimoto, John Bocco na
Mrisho Ngasa.
MICHUANO YA KOMBE LA UHAI KUANZA DESEMBA 7
Michuano
ya Kombe la Uhai inayoshirikisha timu za U20 za klabu za Ligi Kuu ya
Vodacom inatarajia kuanza Desemba 7 mwaka huu na kumalizika Desemba 22
mwaka huu.
Wachezaji
watakaoshiriki michuano hiyo ni wale tu ambao usajili wao umefanyika
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na kupata leseni. Hakutakuwa
na usajili mwingine wowote mbali na ule uliofanyika sambamba na wa Ligi
Kuu.
Taratibu zote za michuano hiyo zitafahamishwa kwa klabu husika ikiwemo ratiba ya michuano hiyo.
ZANZIBAR STARS NA KILI STARS AZUA CECAFA - SASA KUKUTANA NUSU FAINALI
![]() |
| Kikosi cha Zanzibar Heroes kilichopambana na Burundi katika mchezo wa Robo Fainali ya Pili ya michuano ya Cecafa Challenge uliochezwa katika Uwanja wa KCC uliopo Lugogo nchini Uganda |
| Wachezaji wa timu ya Zanzibar Heroes na Burundi wakiwania mpira wakati wa mchezo wa Robo Fainali ya pili ya michuano ya Cecafa Challenge uliochezwa katika Uwanja wa KCC uliopo Lugogo nchini Uganda |
| Kipa wa Rwanda aliyelala chini akijitahidi kuokoa goli lililofungwa na Amri Kiemba baada ya kazi nzuri iliyofanywa na Mwinyi Kazimoto ya kuwapita mabeki wa timu ya Rwanda |
BOCCO NA KIEMBA WAIZAMISHA RWANDA - STARS IKIENDEA NUSU FAINALI YA CHALLENJI CUP
TANZANIA
Bara imefanikiwa kuwa timu ya kwanza kuingia Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa
ya Afrika Mashariki na kati, CECAFA Challenge Cup baada ya kuilaza Rwanda mabao
2-0 kwenye Uwanja wa Lugogo mjini hapa mchana huu.
Hadi
mapumziko, Stars inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, walikuwa
mbele kwa bao 1-0 lililotiwa kimiani na kiungo Amri Kiemba, dakika mya 33
akiunganisha pasi ya Mwinyi Kazimoto aliyewapunguza wachezaji wawili wa Rwanda
kabla ya kutoa pasi maridadi.
Katika mechi
hiyo iliyochezeshwa na refa Mohamed El Fadil kutoka Sudan, mshambuliaji John
Raphael Bocco ‘Adebayor’ alikuwa mwiba mchungu kwa safu ya ulinzi ya Rwanda na
aliwafanya waende kwenye vyumba vya kupumzikia wakiwa hoi.
Katika hicho
kipindi cha kwanza, Rwanda walikosa bao la wazi dakika ya 12 baada ya krosi ya
Jean Claude Iranzi kuokolewa na beki Kevin Yondan kwa kichwa na dakika ya 19
Jean Baptiste Mugiraneza alipiga juu akiwa nje kidogo ya eneo la hatari.
Stars pamoja
na kufunga bao hilo kipindi hicho cha kwanza, katika dakika ya 30 krosi nzuri
ya Salum Abubakar ‘Sure Boy’, Mrisho Ngassa na Bocco walishindwa kuiunganisha
na ikawapita wote.
Ngassa tena,
katika dakika ya 38 alipiga shuti kali kutoka wingi ya kushoto, lakini likaenda
nje sentimita chache.
Kipindi cha
pili Stars walirudi vizuri tena na kuendelea kucheza kwa kuonana, ingawa na
Rwanda nao waliendelea kucheza kwa bidii kutafuta bao la kusawazisha.
Hata hivyo,
walikuwa ni Stars tena waliofanikiwa kupata bao la pili 53 baada ya John Bocco
kuuwahi mpira uliotemwa na kipa Jean Claude Ndoli kufuatia shuti kali la Mwinyi
Kazimoto kutoka nje ya eneo la hatari.
Baada ya bao
hilo, Rwanda walionekana kupagawa, lakini hawakusahau kushambulia lango la
Stars na dakika ya 86 Dadi Birori hakujali ameotea akasukuma mpira nyavuni,
lakini refa akakataa bao hilo.
Kwa ushindi
huo, Stars sasa inasubiri mshindi kati ya Uganda na Ethiopia kesho kukutana
naye kwenye Nusu Fainali.
Kocha wa
Taifa Stars, Kim Poulsen alisema baada ya mcezo kuwa wachezaji wake walijituma
wakati wote uwanjani na ikazaa matunda. “Vijana walikuwa na ari ya kufunga,
wakatengeneza nafasi na wakapata magoli mawili ya muhimu,” alisema.
Alisema timu
yake ina vijana wengi na mashindano haya yamewapa uzoefu mkubwa kwani
wamepambana na timu kubwa na kuzipa wakati mgumu.
Naye Meneja
wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe, alituma salamu za pongezi
kwa Stars huku akisema walistahili kushinda na kuna dalili zote kuwa watacheza
fainali JUmamosi Disemba 8.
“Sisi kama
wadhamini tunafarajika sana kuona timu inafanya vizuri..tunawatakia kila la
heri waendelee hivi hivi na kwenye mashindano mengine ili wazidi kuipeperusha
bendera ya Tanzania,” alisema.
Watanzania
waishio Kampala na wengine kutoka mkoa wa Kagera walijitokeza kwa wingi na
kuishangilia Stars kwa nguvu zote. Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Lodslaus
Komba naye alihudhuria mechi hiyo.
Stars; Juma
Kaseja, Erasto Nyoni, Amir Maftah, Shomary Kapombe, Kevin Yondan, Amri Kiemba,
Salum Abubakar/Athumani Iddi dk51, Frank Domayo, Mwinyi Kazimoto, Mrisho Ngassa
na John Bocco/Shaaban Nditi dk 85.
Rwanda; Jean
Claude Ndoli, Emery Basiyenge, Ismail Nshutimayamangara/Fabrice Twagizimana
dk19, Jimmy Mbaraga/Imran Nshiyimana dk67, Charles Tibingana/Barnabe Mbuyumbyi
dk61, Michel Rusheshangoga, Jean Baptiste Mugiraneza, Haruna Niyonzima, Jean
Claude Iranzi, Dadi Birori na Tumaine Ntamuhanga.

Subscribe to:
Posts (Atom)