BREAKING NEWS! KATIBU MKUU MPYA WA SIMBA NI EZEKIEL KAMWAGA,HAFISA HABARI NI ASHA MUHAJI
Uongozi wa klabu ya Simba umempandisha cheo aliyekuwa afisa habari
wa klabu hiyo Ezekiel Kamwaga na kuwa katibu mkuu mpya, Kamwaga
anachukua nafasi ya Evodius Mtawala aliyepata ajira akiwa kama
mkurugenzi wa kitengo cha wanachama na sheria pale TFF.
Klabu ya Simba pia imemteua mwandishi mkongwe wa habari za michezo Asha Muhaji kuwa afisa habari mpya wa klabu hiyo. Taarifa Zaidi endelea kufuatilia mtandao huu makini kabisa wa habari za michezo....
Sio hafisa ni afisa
ReplyDelete