FC Barcelona imeivunja rekodi
iliyowekwa na mahasimu wao kwenye soka la Hispania Real Madrid,kati ya mwaka
1987 na 1988 ya kukikalia kiti cha msimamo wa LA LIGA kwa muda mrefu.
FC Barcelona iliweka rekodi hiyo mpya kukaa kileleni kwa majuma 54
mfululizo mwishoni mwa juma lililopita baada ya kuifunga Villarreal mabao 3-1 .
Hapo awali kati ya mwaka 1987 na
1987 Real Madrid ilikaa kileleni mwa msimamo wa LA LIGA kwa kipindi cha majuma
53.


No comments:
Post a Comment